MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,514
Waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh
Ishaallah kesho ni Eid ul fitr ndio naangalia TV imani hapa wameonyesha mashahid wawili waliouona mwezi na wakamueleza sheikh wa mkoa mbeya. Na wameaapa kuthibitisha kuuona mwezi.
Naona Bakwata bado wanaendelea ubaladhuli wao wa kusubiria mwezi wa Tanganyika[emoji85] [emoji85]