Taifa Langu Tanzania

Taifa Langu Tanzania

Eternal_Life

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
812
Reaction score
1,675
Kuna wakati nafarijika sana kuwa mtanzania,kuna wakati nahuzunika sana nikishtuka na kugundua kwamba am a Tanzanian!!!Huzuni hii inasababishwa na viongozi wetu wasio na maono na wananchi wasio na upeo wa kuchuja mambo.

Taifa linatungiwa sheria na wanaojua kuandika na kusoma bila kujali weledi wao katika kuchuja na kuchambua mambo.Wagonga meza wazee wa NDIO wasio jua kuhoji ndo wametufikisha hapa tulipo.Nasi kama wananchi bila aibu tunasema wengine watawale maisha,eti wanaongoza nchi vizuri(Mtukufu)!!!

Itakuwa vyema na kheri Mwenyezi Mungu akitunyang'anya rasilimali zote tulizonazo Watanzania na kuturudishia akili na utashi wa kupambanua mambo.
 
Back
Top Bottom