Kibiti Raha Sanaaa

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,688
3,823
Sasa viwanja vimeshuka bei ya kutupwa yaani ukiwa na laki tano tu unapata bonge la kiwanja na tena unaweza kujipimia mwenyewe uanzie wapi mpaka wapi kwa laki tano.

Maji yanapatikana vizuri tu yaani 24/7, vile vile kuna mashule ya kufa mtu yaan mengi sanaa ni wewe na ada za wanao tu.

Umeme haukatiki sanaa, na ikifika usiku watu wametulia ndani freshi kabisaa yaani unaanika nguo vizuri af kesho yake unazikuta tu zimelala nje safi.

Asikwambie mtu kitu kibiti raha sanaa waungwana.
 
Japo si vyema kubeza hasa katika kipindi hiki kigumu, ila kuna ka udhaifu flani ndani ya Jeshi letu tukufu la police.

Kwa ulayman wangu wa mambo ya kiintelijensia, nafikiria mbinu ambazo zinaweza kutumika. Haya maharamia hayaishi porini. Yapo mulemule yamejimix na watu. Fanya ambush. Funga barabara za kuingia na kutoka kwa masaa kadhaa. Anza msako wa nyumba kwa nyumba. Rusha aircraft juu iangaze kiurahisi. Tanguliza mashushushu wafanye some kind of ground work. Etc. Etc.

Haya mengine sijui ya kutaka kumtuma CDF akaongee na wazee ni mbwembwe tu na kutafuta huruma kwa wasiohusika.
 
Japo si vyema kubeza hasa katika kipindi hiki kigumu, ila kuna ka udhaifu flani ndanibya Jeshi tukufubla police.

Kwa ulayman wangu wa mambo ya kiintelijensia, nafikiria mbinu ambazo zinaweza kutumika. Haya maharamia hayaishi porini. Yapo mulemule yamejimix na watu. Fanya ambush. Funga barabara za kuingia na kutoka kwa masaa kadhaa. Anza msako wa nyumba kwa nyumba. Rusha aircraft juu iangaze kiurahisi. Tanguliza mashushushu wafanye some kind of ground work. Etc. Etc.

Haya mengine sijui ya kutaka kumtuma CDF akaongee na wazee ni mbwembwe tu na kutafuta huruma kwa wasiohusika.

Yeah, true mkuu, haya ya kibiti yanadhalilisha jeshi letu na kuonesha ni jinsi gani lina uwezo mdogo sana ktk masuala ya intelijensia, sasa unaweza kuona tu kibiti iko karibu sanaa na makao makuu ya majeshi karibu yote, ila intelijensia gani sasa imetumika? jiulize tungekua na bifu na Al Shaabab je?
 
Japo si vyema kubeza hasa katika kipindi hiki kigumu, ila kuna ka udhaifu flani ndani ya Jeshi letu tukufu la police.

Kwa ulayman wangu wa mambo ya kiintelijensia, nafikiria mbinu ambazo zinaweza kutumika. Haya maharamia hayaishi porini. Yapo mulemule yamejimix na watu. Fanya ambush. Funga barabara za kuingia na kutoka kwa masaa kadhaa. Anza msako wa nyumba kwa nyumba. Rusha aircraft juu iangaze kiurahisi. Tanguliza mashushushu wafanye some kind of ground work. Etc. Etc.

Haya mengine sijui ya kutaka kumtuma CDF akaongee na wazee ni mbwembwe tu na kutafuta huruma kwa wasiohusika.
Kwa ulichokiandika hapa,kweli siwezi kuruhusu unifanyie consultation hata kwa dawa.

Analysis&interpretation skills zako ziko chini sana kwa kweli.
 
Japo si vyema kubeza hasa katika kipindi hiki kigumu, ila kuna ka udhaifu flani ndani ya Jeshi letu tukufu la police.

Kwa ulayman wangu wa mambo ya kiintelijensia, nafikiria mbinu ambazo zinaweza kutumika. Haya maharamia hayaishi porini. Yapo mulemule yamejimix na watu. Fanya ambush. Funga barabara za kuingia na kutoka kwa masaa kadhaa. Anza msako wa nyumba kwa nyumba. Rusha aircraft juu iangaze kiurahisi. Tanguliza mashushushu wafanye some kind of ground work. Etc. Etc.

Haya mengine sijui ya kutaka kumtuma CDF akaongee na wazee ni mbwembwe tu na kutafuta huruma kwa wasiohusika.
Umesema majambazi yamejichanganya na jamii halafu unasema ifanyike ambush!
 
Back in days nilisoma upili ya juu KIBITI miaka imepita ni sehemu iliokua nzuri nashangaa Sana Kama kwasasa limegeuka pango la hooligans.

Mkuu hawa watu sijui wametokea wapi kwa kweli, ni jambo la.ibu sanaa, lina uaibisha mji huu, leo utaskia ni afadhali kuishi musoma mara kuliko kibiti.
 
OK umeeleweka Fanya wewe ni askari Polisi umepangiwa kibiti hapo vipi utakwenda au unaachia ngazi

Mimi ntaenda, maana naamini hakuna eneo Tanzania hii et lipo kama Dafur au Tikrit au Benghaz

haya mambo yanayotokea leo kibiti ni kwa vile tu watu flan bado hawajalichukulia ili kama tatizo serius, wanazani ni upepo tu utapita.
 
Back
Top Bottom