Naomba ufafanuzi

Naomba ufafanuzi

mkuu mtoa mada hiyo avatar ni salama kweli kwa afya yako?
nchi imekuwa serious hii,angalia usije ukaozea segerea hasa ukizingatia hata liyeibuni na kuichora hawana uhakika kuwa ni nani hasa...
 
Mtu mkimya anakuwa sio mchokozi , lakini akichokozwa anasimamia haki yake,

Mtu mwoga, yeye anaweza akawa muonheaji tu kawaida lakini hawezi kupambana mwishowe anakimbia
 
Back
Top Bottom