Mtaa wa Congo haufai ,hakupitiki kila siku msongamano wa watu,halmashauri wekeni limit ya watu

ipo siku utakufa

Senior Member
Dec 8, 2016
146
1,000
Tuacheni masihara mtaa wa Congo uliopo kariakoo hapafai ,huu mtaa kila siku ya Mungu kuna msongamano wa watu na hivi karibuni ndio kabisa umati wa watu unajaa ,kiusema kweli huu mtaa mimi siupendi na sikatishi kabisa ikitokea nimeingia huu mtaa natafuta njia ya kuukwepa..

jua+kubanana=reaction utakayoipata ni hatari.

Na mtaa huu watu huibiwa sana vitu vyao wanachomolewa bila kujijua..

Huu mtaa nashauri halmashauri waweke geti watu wanaoingia na kutoka walipe pesa ili kudhibiti msongamano,foleni ,kubanana

Congo weka mbali na watoto
0684939d47807e06d83f4379d3a230ce.jpg


75ff67fbf875d9c6bdd91b07b183684c.jpg
 

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,553
2,000
Halaf wewe wa maana sana. Umempa Mr. Mpango chanzo kipyaaa cha kujipatia mapato kwa sirikali yake. Huu ndo tunauita ubunifu sio kila siku wanawaza Soda, bia, sigara tuuuu sasa ati mama ntilie na mmachinga. Hawavioni vyanzo hivi? Kwanza faida yake itapunguza ule msongamano tena iwe kwamba ukiingia upewe only 1 hr ukizidisha unalipa x 2 wakati wa kutoka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom