Wadau Muda Huu Hapa Hale Korogwe Naona Pikipiki Nyingi Zimeongozana Wanamfuata Mporaji Wamepata Taarifa Anaeleke Njia Ya Tanga Imeporwa Same.Ni Mbinu Gani Waliopo Njiani Wamtegee Hasa Kwenye Kona...
Kwenye gazeti la mwananchi la leo tarehe 29/06/2017 kuna habari yenye kichwa cha habari "Kenya kuanza kutumia dawa mpya za ukimwi" Ndani ya habari hiyo kuna kipengele kinaeleza kuwa Robo tatu ya...
VIONGOZI wametakiwa kulisaidia taifa kwa kukemea aina ya mavazi yanayovaliwa na wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ambayo licha ya kuleta vishawishi vya ngono yamekuwa yakidhalilisha utu wa mwanamke...
Habarini wana JF,
Naamini mmekula Eidd vyema na waliokwenda kwenye kufurahia mbali na makwao naamini wamerudi salama.
Ok let go to the point of no return ni hivi na naamini nawe utaniunga mkono...
habari za mda kidogo wadau...
moja kwa moja niende katika mada.hawa jamaa ni wanafiki wakubwa na mda mwingi wanatumia kupiga porojo tu. mfano mda huu wanazungumzia swala la maoni ya rais mstaafu...
Kwa kauli ya Mh. Waziri Kairuki Watumishi baadhi walibadilisha madaraja ya ufaulu..ni sawa
Kwa kuwa uhakiki ulifanyika katika halmashauri zetu waliohakiki hawakugundua gamba kama ni la baraza na...
Naomba niandike andiko refu kidogo maana hamna namna.
Kwenye Masomo ya PUBLIC RELATIONS,JOURNALISM na MASS COMMUNICATION,wanafunzi husoma topic inayoitwa BRANDING,hii ni Topic nzuri sana,binafsi...
Wanajamvi,
Kwa wale wenye utaalamu na haya makufuli yetu ya siku hizi kama vile Wohu, Solex, Solit na mengineyo ninaomba tusaidiane ushauri wa uzoefu hapa.
Mimi nimekuwa nikiyatumia sana kwenye...
Wadau poleni sana mihangaiko ya siku,
Niende kwenye mada hapo juu,
Nipo kwenye kamati ya Mapokezi ya Mwenge mwishoni mwa mwezi wa saba katika wilaya Fulani hapa nchini. Sifagilii sana hili...
Habari zenu wanajamvi, naimani mko poa sana, kwa ambao hamko poa nawaombea kwa mungu awasaidie mrejee katika hali zenu.... Bila kupoteza muda niende kwenye swali langu la msingi, kama ukibahatika...
Hatimaye Serikali imepeleka kikosi cha JWTZ huko Pwani kudhibiti mauaji na kutafuta wauaji.
Kikosi hicho cha JWTZ kina wana jeshi wenye uzoefu mkubwa wa kivita na makomandoo kiasi.
Lengo kuu ni...
LEO tumechapisha taarifa za wanafunzi wa kike wa Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) kilichoko Ilala, Dar es Salaam, kuvamiwa na vibaka, wakaporwa mali, fedha na kisha kubakwa kwa...
Mkazi wa mjini Geita, Verediana John ambaye ni miongoni mwa wananchi 18 waliohamishwa katika makazi yao mwaka 2007 kupisha ujezi wa mgodi wa GGM akiwa kwenye makazi yake nje ya ofisi ya Kata ya...
Siku moja baada ya kuripotiwa mauaji ya Mwenyekiti wa Kitongoji na Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Mangwi kilichopo Kata ya Mchukwi wilayani Kibiti katika Mkoa wa Pwani, IGP Simon Sirro ametembelea...
Kuanzia alasiri nimekuwa najaribu kutuma pesa kupitia huduma YA tigo pesa inagoma, hakuna maelezo YA maana zaidi YA kusema niwasiliane na huduma kwa wateja ambayo nayenyewe haipatikani.... Tigo...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, George Kyando, aliwaambia waandishi wa habari jana ofisini kwake kuwa tukio hilo lilitokea Jumatatu wiki hii saa 12 jioni. Mtuhumiwa anadaiwa kumuua mdogo wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.