Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Labda ni business strategy yao lakini, kwangu na labda kwa wengine pia mnaweza kuliona hili, ni kama kero tu, kwa uwepo wa utitiri wa kampeni zisizokwisha za promosheni za vifurushi vya kila...
0 Reactions
3 Replies
766 Views
WAKALA wa barabara Tanzania (Tanroads), umesema muda wowote kuanzia wiki ijayo wanatarajia kuanza utekelezaji wa kubomoa nyumba zilizowekewa alama ya X katika barabara ya Morogoro kuanzia Kimara...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Jana nilikuwa napitia video moja YouTube ikionesha mapokezi ya Rayvanny, cha kushangaza licha ya kuonekana kuna jua kali na watu kuvuja jasho lakini kuna ambao walivaa makoti ya baridi. Ukiacha...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Nimeona kipindi hiki kila mtanzania ana mtazamo au mawazo kuanzisha kajitaasisi au foundation na hata NGOs na lengo la kuwa mmiliki wa hiyo organization. Kuwa na taasisi nyingi zisizo za...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu Nakerwa sana na haka kajitabia kakishetani ka watu kulalamika kuombwa msaada humu jf,yaani hii tabia imekithiri mpaka mnadiriki kuwataja watu waliowafa kuwaomba msaada shameee...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuanzia kesho oryx gas zitauzwa 15 kg =44"500 badala ya 50"000 6kg =18"500 badala ya 21"000 Sijapata taarifa za mihani nao wanashusha ntawaletea NB BEI HIIZI N KWA WALE WANAONUNUA MZIGO...
11 Reactions
80 Replies
8K Views
Jeshi la polisi mkoa wa kipolisi Temeke linawashikilia wasichana kumi na mvulana mmoja waliokutwa wakiwa wamevaa nusu uchi katika fukwe za Coco Beach na kudaiwa kujihusisha na vitendo vya ukahaba...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais Magufuli pole na kazi nachukua fursa hii kukukaribisha Mbeya mjini hasa hapa uyole ukija nitakuonyesha eneo la soko ambalo serikali ililipa fidia tangu miaka ya 1970 na wajanja wachache...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Haieleweki lengo la manispaa ni kuongeza mapato au kukomoa hawa madereva wanaofanya hii kazi kupitia mtandao wa Uber.. Watu wa jiji acheni mambo ya kizamani na mfanye kazi kisasa, sidhani kama...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Mtoto mmoja mwenye umri wa miezi minne ameibiwa katika mtaa wa ustawi wa jamii kata ya Nyamanoro wilayani Ilemela Jijini Mwanza. Imeelezwa kuwa watu waliomuiba mtoto huyo wamemchukua mama mzazi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika kuadhimisha ni siku ya ugonjwa wa homa ya ini duniani, imeelezwa kuwa mtu moja kwa kila wiki hupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo katika Hospitali Teule ya wilaya ya Sengerema. Hayo...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Nauchuna kwanza!
0 Reactions
3 Replies
810 Views
SHEKHE Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Mufti Abubakari Zuberi.Pamoja na kuwashukuru madaktari na wauguzi kwa juhudi kubwa wanazofanya kunusuru maisha ya watu. Mufti aliwatembelea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Lazima tukubali Kenya ina sangoma viboko ile mbaya. Mifano: 1. Kama mke au mume wako anachepuka basi sangoma wa Kenya wana dawa zakuwafanya hawa wachepukaji kunasiana wakati wa tendo la ndoa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau, Leo usiku kucha paka wamekesha wakikimbizana juu ya paa. Kuna mpera umeinamia juu ya bati mpera yakiiva yanaanguka juu ya bati huku yakitoa sauti kama panya anakimbia. Sasa sijui paka...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Baraza la taifa la usajiri wa zahanati binafsi na za umma wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto linamsaka daktari feki wa zahanati ya meno msasani jijini Dar es Salaam na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba kiongozi huyo wa Simba FC Aveva anashikiliwa polisi urafiki kwa tuhuma za rushwa. Anashikiliwa na TAKUKURU tangu juzi kwa tuhuma za rushwa. Hakuna ufafanuzi...
3 Reactions
91 Replies
25K Views
Mtalii huyo kutoka mkoa wa Jiangxi, alikuwa akijaribu kuvaa bangili hiyo kwenye duka moja lililo mkoa wa Yunnam karibu na mpaka na Myanmar. Mwanamke mmoja raia wa China alizirai akiwa kwenye duka...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Arusha. Halmashauri ya Jiji la Arusha imetoa ufafanuzi wa sare zinazotumiwa na askari wake zinazofanana za Idara ya Uhamiaji ikisema zimepitishwa kwa kuzingatia utaratibu wa ulinzi. Imeelezwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom