mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
Kwa kauli ya Mh. Waziri Kairuki Watumishi baadhi walibadilisha madaraja ya ufaulu..ni sawa
Kwa kuwa uhakiki ulifanyika katika halmashauri zetu waliohakiki hawakugundua gamba kama ni la baraza na wengine wamebaki na uhalali na wapo kazini. Kwa kuwa waliokunyanya vyeti na kuviwasilisha baraza la mitihani la Taifa na kugundulika wamebadili madaraja, Je baraza walichonga vyeti hivyo vilivyobadilishwa madaraja?
Swali la Pili. Kama ilivyo kwa swali la kwanza, Upelelezi wenu unashindwa vipi kuwatafuta waliochonga na kuibia wamiliki halali wa vyeti, na kwa kuwa haiingii akilini mtumishi alikaa darasani miaka minne, itokee mwingine amiliki gamba la kuchonga, halafu vyote vikusanywe barazani, baraza lipate shida kuwatambua wamiliki halali...vingevyo baraza kuna wahusika wanauza vyeti vya kughushi
Mwisho