Wakizingumza kwenye mdahalo Ulioandaliwa na taasisi ya kilimanjaro dialogue jana mmoja wa waafrika anayeishi marekan Bin-Butuakwa, alisema kuwa kungekuwepo na free visa kwa waafrika wanaishi nje...
Habari wakuu
Nasikitishwa sana na hali inayojitokeza huko kibiti na maeneo jirani kutoka na mauaji ya mara kwa mara kwa Viongozi wa ngazi za chini pamoja na ma afsa usalama.
Najiuliza maswali...
Najiuliza tu.
Mambo mengine huenda yanahitaji kufikiriwa kwa undani zaidi.
Kwa nini wazee wetu hawakumrithisha binti ardhi? Je, huo ni kweli unyanyasaji?
Mimi sina jibu lakini najiuliza tu.
Hebu...
= Ndio watu wa kwanza kuvumbua mswaki
= Wachina ndio watu wa kwanza duniani kuvumbua printing technology
= Pesa za noti ziligundulika na kuanza kutumika china kabla ya sehemu yoyote duniani.
=...
Wakuu deal nyingi (80%) za upigaji fedha, utakatishaji fedha, uhujumu uchumi n.k miamala yake imefanyika au imepigiwa pale Stanbic kinondoni.
Napata maswali mengi sana kwanini ni Stanbic kwa...
Leo saa 12:30 asubuhi treni ya jiji kutoka Ubungo Maziwa imepata ajali ya mabehewa matatu kuacha njia eneo la Mabibo Magengeni!
Ajali hiyo ya commuter ya Ubungo Maziwa abiria wametoka salama na...
WABABA TUNASEMA........
1. "Ni afadhali kuwa na jeshi la kondoo linaloongozwa na Simba, kuliko jeshi la simba linaloongozwa na kondoo." *Napoleon_Bonaparte.*
2. "Lengo la kwanza la vita sio kufa...
Kwa mara nyingine mwaka huu, Benki ya CRDB imeshinda tuzo ya taasisi bunifu ya kifedha Afrika Mashariki.
Tuzo hiyo ya ubunifu imetolewa na Jarida la The Business Year (TBY) linaloendesha utafiti...
Hivi kitendo cha sukari kuendelea kupanda bei kiasi cha kutoka 1800 kama bei pendekezwa mpaka 3000 hela ya kitanzania!, serikali inaweza kukili kuwa ilikosea kutoa bei pendekezwa ya 1800 ...
BOFYA LINK HIYO HUSOME INASIKITISHA Dawa ya Maralia na vipimo hospitali za serikali kuwa bure ni danganya toto, wananchi wanaumia | QUALITY OPPORTUNITY NEWS
Hivi hizi waya hazina madhara kweli kwa afya zetu? maana naona trend imekua kubwa sana ya kutumia stili waya kusafishia masufuria.
Na ukizingatia wanawake wa siku hizi kazi zote wanawachia...
Habarini za jioni wakuu.
Naomba nitoe dukuduku langu juu ya huyu mwanadada anayekatisha tiketi kwenye kituo cha mwendokasi cha pale Kona barabara ya Kimara. Huyu mdada ni mrefu kiasi huwa anakua...
Mkoani Mtwara, Kumetokea tukio la kushangaza umma baada ya kijana mmoja (jina kapuni) aliyetoroka kijijini kwao Milangominne huko Mtwara vijijini kwa muda wa miezi mitatu nduguze wakihisia yupo...
Vodacom tunaomba mwendane na hali ya uchumi ya sasa.maana vifurushi vyenu viko juu sana .mfano kifurushi cha wiki tshs 5000 ni gb 1.yaani ukijiunga hata siku haiishi kitu kimeisha.hapa nilipo...
Mtendaji mkuu wa Udart eng. Lwakatare amesema hivi karibuni waraingiza mabasi mapya 166, na wataanzisha ruti mpya za Magomeni to Mbagala na Masaki to Gerezani. Utaratibu utakaotumika ni kama ule...
Tigopesa haifanyi kazi karibu kutwa nzima ya leo. Mnajua usumbufu na maumivu tuliyopata wateja wenu?
Mnajua Serikali imekosa kiasi gani cha kodi kwa kutwa nzima? Nyinyi binafsi mmepoteza kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.