Clouds 360 acheni kupoteza muda mwingi kwenye mada moja

ALHAJI TECNO

Member
Jun 17, 2017
10
45
habari za mda kidogo wadau...
moja kwa moja niende katika mada.hawa jamaa ni wanafiki wakubwa na mda mwingi wanatumia kupiga porojo tu. mfano mda huu wanazungumzia swala la maoni ya rais mstaafu alhaji mwinyi.. kama rais mwinyi ingekua uwezo wake angependa rais awe wa kudumu.
sasa basii awa jama wanajadili as if hiyo n storii kubwa ambayo inaweza take 30mints.. yani ni ujinga hassa mpaka inaudhi .
wote kwanza n wajuaji wote ndo wanaongoza kiipnd...ni vurugu na watu wamejaa sifa....
Issue y wanyama kupewa mtaa wanatetea aaaaahhaahh jiulizeni wanajimvi samweli sitta kapewa mtaa? wao wanasema eti fursa kumpa wanyama mtaa.....fursa ya kututangaza nje...how stupidity is this?
karibunii
 
agata edward

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
6,676
2,000
Ila kuna mmoja hapo anasifa ya ujuaji tangu zamani...so huo ni uzaifu wake msamehe tuu
 
ney kush

JF-Expert Member
Feb 16, 2012
1,313
2,000
kauli ya rais ya TUSIPANGIANE hukuiskia mkuu..... hawapangiwi,na we hupangiwi kuangalia hiyo clouds ofcoz wanaboa ...usiwaangalie tu utakua huru
 
Salamanders

JF-Expert Member
Oct 31, 2016
365
250
Kumbe Uhuru wa kutoa maoni now umekuwa shida maana naona kuna watu wanakereka. Unajua ukimchukia m2 ww ndiyo unahumia kuliko yeye. Achana nao na ww toa maoni yako.
 
Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,128
2,000
habari za mda kidogo wadau...
moja kwa moja niende katika mada.hawa jamaa ni wanafiki wakubwa na mda mwingi wanatumia kupiga porojo tu. mfano mda huu wanazungumzia swala la maoni ya rais mstaafu alhaji mwinyi.. kama rais mwinyi ingekua uwezo wake angependa rais awe wa kudumu.
sasa basii awa jama wanajadili as if hiyo n storii kubwa ambayo inaweza take 30mints.. yani ni ujinga hassa mpaka inaudhi .
wote kwanza n wajuaji wote ndo wanaongoza kiipnd...ni vurugu na watu wamejaa sifa....
Issue y wanyama kupewa mtaa wanatetea aaaaahhaahh jiulizeni wanajimvi samweli sitta kapewa mtaa? wao wanasema eti fursa kumpa wanyama mtaa.....fursa ya kututangaza nje...how stupidity is this?
karibunii

Mimi nadhani ili kuepukana na yote hayo Mkuu mwambie tu ' Babaako ' akuanzishie Tv Station yako ili uwe unaweka tu maudhui yako hayo unayotaka kuyasikia Wewe na tuachie sisi na Clouds 360 yetu tafadhali. Mzee Mwinyi kaongea sahihi na hata hilo la Wanyama kunyang'anywa Mtaa ' Wahusika ' wamekengeuka kunakotukuka.
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,778
2,000
habari za mda kidogo wadau...
moja kwa moja niende katika mada.hawa jamaa ni wanafiki wakubwa na mda mwingi wanatumia kupiga porojo tu. mfano mda huu wanazungumzia swala la maoni ya rais mstaafu alhaji mwinyi.. kama rais mwinyi ingekua uwezo wake angependa rais awe wa kudumu.
sasa basii awa jama wanajadili as if hiyo n storii kubwa ambayo inaweza take 30mints.. yani ni ujinga hassa mpaka inaudhi .
wote kwanza n wajuaji wote ndo wanaongoza kiipnd...ni vurugu na watu wamejaa sifa....
Issue y wanyama kupewa mtaa wanatetea aaaaahhaahh jiulizeni wanajimvi samweli sitta kapewa mtaa? wao wanasema eti fursa kumpa wanyama mtaa.....fursa ya kututangaza nje...how stupidity is this?
karibunii
Kwani umelazimishwa kuangalia?
 
Cowman

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
1,652
2,000
Sometimes jamaa wanazidisha porojo kwenye jambo lisilokuwa na maana.
 
FortJeasus

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
597
500
Kumbe Uhuru wa kutoa maoni now umekuwa shida maana naona kuna watu wanakereka. Unajua ukimchukia m2 ww ndiyo unahumia kuliko yeye. Achana nao na ww toa maoni yako.

Tukumbuke,hatuwezi kuwa na maoni yanayofanana daima.Tujifunze kuwakubali wengine kwa jinsi walivyo.Muhimu:si kila kitu kichukuliwe seriously.
360 wanajitahidi katika kuibua fikra mbadala na kwa sehemu kubwa wapo objective.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom