note: ninalipenda sana jeshi la polisi (my 3 uncles still work there) and I really appreciate how they work hard to keep us all safe;
Ndugu zangu wanajukwaa kwa kuzingatia ukweli kwamba askari...
Huyu Diwani ametumia nafasi yake na utashi wake kisheria na kidemokrasia. Lakini kwa sababu ametoka CHADEMA, je Tume ya uchaguzi ikiitisha uchaguzi anaweza aombe CCM na akimruhusu anaweza agombee...
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waajiri Tanzania (Ate), Dk Aggrey Mlimuka amesema gharama kubwa za uendeshaji wa biashara nchini pamoja na vikwazo kadhaa vya kibiashara...
Kuna matapeli wanatumia vibaya jina la kampuni ya World Vision na kudai kwamba wanahitaji uwasaidie kuwanunulia vitu vya kitalii. Huyo tapeli mwenye namba(0788891131) anakupigia simu akidai yupo...
WAFANYABIASHARA ya huduma za usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda, wametajwa katika utafiti kuwa wanaowanyanyasa kimapenzi na kuwafanyia ukatili wasichana wanaokataa kushirikiana nao...
Ni kama wiki Imepita nilileta hoja juu ya ubovu wa barabara iliyo Bandarini inayoelekea kurasini.Napenda kutoa pongezi zangu kwa mamlaka husika kwa kuliona hilo, na sasa uboreshaji wa barabara hyo...
Ni vyema Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba ukajikita zaidi kwenye swala la kibiti, kuliko kuingilia swala la wanafunzi wa kike kupata ujauzito na kuto kuendelea na masomo.
La kibiti lipo...
Hakika wakazi wa dar es salaam walikuwa na furaha sana katika kusherehekea sikukuu ya Eid. Watu wa kila dini walijumuika pamoja kusherehekea sikukuu hiyo.
Hakika watanzania wanapendana sana...
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Wachezaji 30 wa timu za soka za mataifa mbalimbali wameshiriki kuweka rekodi ya kwanza Duniani kwa kucheza mchezo wa kirafiki katika...
Mtoto mwenye umri wa miezi minne ameibiwa katika mtaa wa ustawi wa jamii kata ya Nyamanoro wilayani Ilemela jijini Mwanza.
Imeelezwa kuwa watu waliomuiba mtoto huyo wamemchukua mama mzazi wa...
Wasalaam jf
Katika kuchunguza kwangu kwa muda mrefu nimegundua kuwa, pesa na Mali zetu zinasababisha watoto wetu kuja kuwa na maisha mabaya sana baadaye.
Tafadhali zingatia yafuatayo kwa ajili...
MTOTO wa shule ya DYCCC huko Chang'ombe jijini Dar es salaam ambaye jina lake halijafahimika kwa haraka,amejirusha kutoka ghorofa ya nne mpaka chini,imesemekana hivyo kama uonavyoona kwenye hii...
Kenya ni nchi ya kwanza Afrika, kuonyesha mfano Afrika kwa kuanza kutoa matibabu bora zaidi kwa watu wanaoishi na virus vya HIV vinavyosababisha ugonjwa wa ukimwi.
Kwa ushirikiano na serikali ya...
Hakika katika sabuni bora ambayo kwa kweli toka najitambua miaka ya 96 hizi ndio sabuni zilizotulea je wewe umeshawahi kutumia?na vp unahistoria nayo gani?
mm kipindi kile ndio ilikua mbadala wa...
"Wanyamlusi" wa Kabila la Kigogo wakiwa tayari kwa kuogeshwa baada ya kumaliza siku zao za jando la kimila.
Huko nyumbani kwa sasa ni msimu wa baridi,tena ile baridi kaliiii.Ukitembelea mikoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.