Pikipiki Imeporwa Je,Mbinu Gani Sahihi Ya Kumfanya Mwizi Aaunguke Barabarani?

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
Wadau Muda Huu Hapa Hale Korogwe Naona Pikipiki Nyingi Zimeongozana Wanamfuata Mporaji Wamepata Taarifa Anaeleke Njia Ya Tanga Imeporwa Same.Ni Mbinu Gani Waliopo Njiani Wamtegee Hasa Kwenye Kona Ili Aanguke Au Apoteze Muelekeo Yupo Spidi Sana? Wametanda Huko Njiani.
 

Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,058
2,000
sure hii ni suala ambalo polisi wanawajibika nalo,je wamefungua kesi ya wizi?,citizen arrest ni nzuri ila nayo ina mipaka yake,pili hao wanaomfukuza wanavunja sheria nyingi tu,usalama wa watumiaji wengine wa barabara hiyo upo hatarini,pls call polisi ndio wafanye kazi hiyo.
 

Mvumilivu2

Senior Member
Jul 31, 2014
107
225
ila huu wiz upo kwel kuna mtu alibiwa getin kwetu na mapanga akapata na kilikuwa kitendo cha dakika hata hatukuweza kumsaidia Mungu awalaani wezi wote kwa hakika sio wa pik pik tu yan wooooote had wa wake za watu' shwaaini!!
 

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
[HASHTAG]#Demba[/HASHTAG] Nawasiliana Na Mtu Mmoja Maeneo Ya Muheza Kasema Wameshatega Mitego Mingi Ikiwemo Bomu La Hirizi Hachomoki
 

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
28,064
2,000
Wadau Muda Huu Hapa Hale Korogwe Naona Pikipiki Nyingi Zimeongozana Wanamfuata Mporaji Wamepata Taarifa Anaeleke Njia Ya Tanga Imeporwa Same.Ni Mbinu Gani Waliopo Njiani Wamtegee Hasa Kwenye Kona Ili Aanguke Au Apoteze Muelekeo Yupo Spidi Sana? Wametanda Huko Njiani.
UMASIKINI BWANA! ujue WEWE JAMAA.JINA LAKO NA MAMBO YAKO MNAENDANA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom