Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,253
- 18,448
View attachment 532658 View attachment 532657 Kwenyegazeti la mwananchi la leo tarehe
29/06/2017 kuna habari yenye kichwa cha habari "Kenya kuanza kutumia dawa mpya za ukimwi" Ndani ya habari hiyo kuna kipengele
kinaeleza kuwa Robo tatu ya watu wanaoishi afrika kusini mwa jangwa la Sahara wanaishi na virusi vinavyosababisha ukimwi au
ukimwi(Aids) sasa kulingana na ripoti mbalimbali kutoka mashirika yanayotambulika kitaifa na kimataifa zinazotafiti na kutoa
takwimu kuhusiana na ugonjwa huo zimekuwa zikieleza kuwa idadi ya wanaoishi na vvu kwa kanda hiyo haijawahi kuzidi
asilimia 40(kiwango cha juu kabisa) sasa hii asilimia 75+tunayoelezwa leo na mwananchi labda ni utafiti mpya walioufanya wao! Au
waliopewa na taasisi nyingine ya kitafiti ambayo hawakuiainisha kwenye habari hiyo!
Kama sivyo basi watakuwa wamepotosha!
Nimebaki mdomo wazi aisee!Robo tatu sub Sahara wana ngwengwe? 4
Out of 75?? Mshukuru Mungu sana!!Nimetoka mzima
SijakuelewaOut of 75?? Mshukuru Mungu sana!!
Yaani katika watu mia moja watu 75 wameathirika!na katika hao 75 wewe haupo? Mshukuru sana Mungu wako.Sijakuelewa
Duh,View attachment 532658 View attachment 532657 Kwenye gazeti la mwananchi la leo tarehe 29/06/2017 kuna habari yenye kichwa cha habari "Kenya kuanza kutumia dawa mpya za ukimwi" Ndani ya habari hiyo kuna kipengele kinaeleza kuwa Robo tatu ya watu wanaoishi afrika kusini mwa jangwa la Sahara wanaishi na virusi vinavyosababisha ukimwi au ukimwi(Aids) sasa kulingana na ripoti mbalimbali kutoka mashirika yanayotambulika kitaifa na kimataifa zinazotafiti na kutoa takwimu kuhusiana na ugonjwa huo zimekuwa zikieleza kuwa idadi ya wanaoishi na vvu kwa kanda hiyo haijawahi kuzidi asilimia 40(kiwango cha juu kabisa) sasa hii asilimia 75+tunayoelezwa leo na mwananchi labda ni utafiti mpya walioufanya wao! Au waliopewa na taasisi nyingine ya kitafiti ambayo hawakuiainisha kwenye habari hiyo! Kama sivyo basi watakuwa wamepotosha!