Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,851
- 7,768
Wadau poleni sana mihangaiko ya siku,
Niende kwenye mada hapo juu,
Nipo kwenye kamati ya Mapokezi ya Mwenge mwishoni mwa mwezi wa saba katika wilaya Fulani hapa nchini. Sifagilii sana hili jambo ila imebidi niitikie wito kutokana na mambo yaliyo juu ya uwezo wangu. Sasa kwa kuwa ni mwanakamati natakiwa pia kukesha na Mwenge huo wa Uhuru. Mi sijawahi kushiriki tukio kama hili wala kuuona Mwenge wenyewe.
Hivyo naombeni ushauri wenu juu ya tukio hili lijalo maana naambiwa niwe making sana maana Mwenge ni tukio la kitaifa na hauna mzaha.
Kama huna ushauri plz usinidhihaki.