Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wandugu naomba kujua vigezo vinavyotumika kabla ya kuweka taa za barabarani. Nimeshuhudia sehemu zenye makutano ya barabara tatu au zaidi lakini lakini hakuna taa za barabarani huku askari...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Uzalendo ni pamoja na kutumia, kukilinda na kukiendeleza kilicho chetu. Kutokana na ukuaji wa kasi wa maendeleo ya teknolojia ya habari, kwa lengo la kuwafikishia wananchi taarifa kwa uharaka na...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nafikiria Mungu akiumba nchi mpya kwa sasa tulivyo hapa, wangapi wataamua kuihama Tanzania na kuanza makazi mapya. Toa sababu kwa nini uhamie nchi mpya
0 Reactions
3 Replies
662 Views
Leo ni siku mbaya nishazoea kujiunga sh 500 dk 60 na 1.2gb bt Leo wanasema invalid services. Cjui kwa nn
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Tuna degree tatu na ya nne soon mwezi huu zote hazina ajira zipo nyumbani tu, hapa namaanisha tupo vijana wanne wenye degree za hivi karibuni home bila ajira. Nimeamua kujiajiri baada ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Natumaini mko salama mkizidi kulisongesha japo duh usawa mbovu huu, hatukawii kutumbuana ili tuonekane na sisi tupo tupo. Napenda kuwapa hizi tips chache za kuweza kuishi kwa amani na hawa mabosi...
15 Reactions
84 Replies
13K Views
Watu 2 wamekufa, 8 wamejeruhiwa baada ya basi la Upendo kutoka Mbeya kwenda Dar kupinduka eneo la Malimboji, Mbarali, Leo hii.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kahama. Waliokuwa walinzi 28 wa mgodi wa dhahabu wa Buzwagi unaomilikiwa na Kampuni ya Acacia, wameshindwa kutoka ndani ya eneo la mgodi huo kwa siku nne mfululizo kuanzia Julai mosi, baada ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanini polisi wanalinda mabanki ya binafsi wakati ofisi kubwa za serikali kama TRA, halmashauri, mahakama, ofisi za wizara nk, wanalinda mgambo wa kawaida wasiokuwa na afya nzuri pengine?
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani naombeni kufahamu kwa ninyi mnaokwenda huko ama wenye kujua. Hivi ni kwanini kila kinapofika kipindi cha kwenda kuhiji kwenye miji mitakatifu ya Mecca na Madina, hutokea vifo vya mamia ya...
6 Reactions
167 Replies
18K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema! Je ni jinsi gani kijana aliyemaliza chuo anaweza toka bila kutegemea ajira?? maana kila sehemu mambo yanabana (ila sio kisingizio)!! Na kiuhalisia siwezi...
5 Reactions
62 Replies
9K Views
Muda huu nikiwa manyoni,nikaona nicheki distance kutoka Manyoni mpaka Kaliua ili nijue tutafika muda gani! Nikaingia google map,nikaingiza destination maana yenyewe automatically inasense your...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kila naporequest USSD najibiwa nijaribu kwa Airtel Money, Yaani hata *102# inanijibu hivyo! Au mie Tu!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
*Diamond maarufu na anammiliki zari na bado haoni aibu kuuza karanga,wewe una mmiliki mwajuma ndala ndefu eti unaleta...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakili Jerome Msemwa leo ametangaza kujitoa katika kesi inayowakabili Rais wa Shirikisho la Mpira nchini(TFF), Jamal Malinzi na Wenzie wawili(Celestine Mwesigwa na Nsia. Msemwa ambaye alikuwa...
0 Reactions
85 Replies
15K Views
Kampuni maarufu ya kutengeneza magari ya nchini Sweden inayojulikana kama #Volvo imetangaza kuwa kuanzia sasa magari mapya watakayotengeneza hayatatumia mafuta ya petroli au dizeli bali umeme...
6 Reactions
66 Replies
10K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, linamshikilia Edna Deus (21) mkazi wa Kisiwa cha Bulubi wilayani Ukerewe kwa tuhuma za kumng'ata shangazi yake Rose Marwa (31), hadi kipande cha ulimi kukatika na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mara nyingi ninapoingia kwenye website mbalimbali za ajira, najiuliza hawa wanaobandika matangazo haya kwenye website zao, je wao wanayatoa wapi hayo matangazo?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Natumai wanajukwaa mnaendelea na majukumu ya kujitafutia riziki. Naomba mwenye kufahamu kama naweza kupata hati ya kusafiria katika maonesho ya sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya maonyesho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kama sikosei mwanzo vifaa va kilimo kama matrekta yalikua yakiingizwa nchini kwa kodi ndogo ili kuhamasisha SEKTA hii, vile vile kodi ya ROAD LECENCE haikuwepo kwenye matrekta, mashine za kusaga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom