Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,956
Jamani naombeni kufahamu kwa ninyi mnaokwenda huko ama wenye kujua.
Hivi ni kwanini kila kinapofika kipindi cha kwenda kuhiji kwenye miji mitakatifu ya Mecca na Madina, hutokea vifo vya mamia ya watu?
Ni nini chanzo chake na kama chanzo kinajulikana kwanini sasa kusifanyike udhibiti kuliko kuacha mamia ya watu kuuawa kila mwaka?
Naombeni kujua wandugu.