Website za matangazo ya ajira wanatoa wapi hayo matangazo?

Website za matangazo ya ajira wanatoa wapi hayo matangazo?

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
296
Reaction score
181
Mara nyingi ninapoingia kwenye website mbalimbali za ajira, najiuliza hawa wanaobandika matangazo haya kwenye website zao, je wao wanayatoa wapi hayo matangazo?
 
Wanaedit yale ya enzi za jk maana iki hizo websites ziweze kusurvive lazima ziweke mabandiko ya ajira so wanaedit ya miaka ya nyuma wanatupia tu
 
Yanapotoka...iv mtu anawezaje kutoa taarifa ya ajira tanesco kama wenyew hawajaulza
 
Back
Top Bottom