real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,287
Kampuni maarufu ya kutengeneza magari ya nchini Sweden inayojulikana kama [HASHTAG]#Volvo[/HASHTAG] imetangaza kuwa kuanzia sasa magari mapya watakayotengeneza hayatatumia mafuta ya petroli au dizeli bali umeme. Kampuni imesema zama za mafuta zimekwisha. Gari ya kwanza kutumia umeme tu itazinduliwa mwaka 2019