Uchakachuzi bando za airtel

kuna kifurushi cha 1500 dk 145 airtel_airtel na dk5 mitandao yote kwa siku7 Leo imegoma sijui kwa nini airtel wanazingua sana
 
Itakuwa ni tatizo la mtandao,mi hata nikipiga menu yao haikubali tangu mornie
 
hata mm nimejaribu kujiunga wananiambia nijiunge kupitia airtel money.
 
kuna kifurushi cha 1500 dk 145 airtel_airtel na dk5 mitandao yote kwa siku7 Leo imegoma sijui kwa nini airtel wanazingua sana
Me nimejaribu zaidi ya mara 5 leo ikawa inazingua.. ila nikawa mbishi, nikaebdelea kujaribu ikakubali... ni ratizo tu la mtandao
 
kuna kifurushi cha 1500 dk 145 airtel_airtel na dk5 mitandao yote kwa siku7 Leo imegoma sijui kwa nini airtel wanazingua sana
Me nimejaribu zaidi ya mara 5 leo ikawa inazingua.. ila nikawa mbishi, nikaendelea kujaribu ikakubali... ni ratizo tu la mtandao
 
Back
Top Bottom