Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kila Mwanadamu Ni Chizi... Amini usiamini, kubali usikubali, kila mtu ni chizi, hata wewe unayesoma post hii ni chizi, hata mimi niliyeandika post hii ni chizi; ispokuwa, uchizi wetu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya Mahona Pondamali (50) mkazi wa Wilaya ya Sikonge yanayosadikiwa kufanyika Aprili mwaka huu. Akizungumza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimetumiwa ujumbe huu sasahivi: HABARI ZA SIKU NDUGU, ILE NAFASI ULIYONIOMBA KWA AJILI YA KIJANA KUJIUNGA NA JESHI IMEPATIKANA, MWANDAE AFIKE HAPA KAMBINI KABLA YA TAREHE 14. Number iliyotuma...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu poleni na majukumu, Nina umri wa miaka 34, mke na mtoto mmoja, nimepambana kweli kweli miaka 4 nyuma nimejenga kijijini kwetu nimenunua kiwanja pembeni kidogo ya mjini, nimemsomesha mke...
12 Reactions
179 Replies
13K Views
Safari tuliyoitegemea ichukue siku chache tu sasa imekuwa ndefu zaidi na ngumu na hatujafika hata robo ya safari hii. Kampuni ya mabasi tuliyoichagua ndo inatukwamisha na kupelekea safari yetu...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Nahodha wa Timu ya Soka ya Taifa ya Tanzania ''Taifa Stars'', Mbwana Ally Samatta ameteuliwa kuwa Balozi wa Watu wenye ualbino hapa nchini. Atakuwa akifanya kazi ya kuwawakilisha sehemu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwisho wa siku sisi wote ni binadamu na tunataka kuona tunapoishi panakuwa sehemu salama na penye furaha kuishi,watu wake wanakuwa na "peace of mind". Julius Nyerere,Dosa Azizi,Rashid...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Akizungumza katika semina kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini, Mwakilishi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Sarah Maongezi, alisema kuna uwezekano muswada...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
DHL is shutting down Tanzania operations. We take this opportunity to thank you and the entire team for your continued support and wish to update you on the coming changes in our Tanzania...
2 Reactions
62 Replies
13K Views
Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Dkt. Thea Ntara Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Dkt. Thea Ntara amesema atawashughulikia Maafisa Elimu wa shule za msingi na sekondari ambao watashindwa kuchukua hatua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ya sabasaba wadau Nimekuwa mlezi wa wadogo zangu watatu(tunashare mama lakini baba tofauti) miaka miwili sasa, baada ya wazazi wetu kufariki yaan marehemu baba yao na marehemu mama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naamini wotehamjambo Ninatarajia kusafiri hivi karibuni kwa njia ya barabara kwa kutumia usafiri binafsi ila bado ninatatizwa na vijiji,kata,vitongoji vya njiani licha ya kwamba naifaham...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mtajwa hapo juu amefariki hospital ya Amana juzi 4/7/2017 kuamkia jana alipofikishwa mapokezi kwa ugonjwa wa homa kali wanadhani ni malaria. Ni mtumiaji wa madawa ya kulevya maeneo ya Ilala...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bariadi. Kwa wakazi wengi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa, jina la Kijiji cha Gambosi haliwezi kutamkwa bila ya kuongezea sifa za uchawi na maisha ya imani za kishirikina. Ingawa wengi wamezoea kutamka...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Toka nimeanza kupata ufahamu (early 90's) ni mengi nimeyasikia kuhusu machafuko ndani ya nchi mbalimbali, vita baina ya nchi na nchi mpaka kile kichohubiriwa kama ugaidi na vita dhidi ya ugaidi...
0 Reactions
3 Replies
963 Views
Naileta hapa kama nilivyoipata. Naamini ni somo zuri linalotukumbusha utu maana yake nini, hasa tunaopenda kuchangia humu kwa maneno na lugha isiyo ya kistaarabu. Hata kama umechukia, unalaumu au...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
Ni siku ya tatu mfululizo maji hayatoki, wenye mamlaka waliahidi siku mbili lakini mpaka leo hakuna maji, waziri njoo utusaidie.
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Salaam. Kama inavyoeleweka hizi asasi za kiraia huwa ni asasi huru zinazojitegemea, Zina bajeti yake na uongozi wake. Zipo kwa ajili ya kuleta mabadiliko chanya kwa raia wa nchi husika...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Waku habari zenu. Kwenda moja kwa moja kwenye mada husika. Ningependa tutafakari na kujaribu kuchambua hii kauli iliyotolewa na mkuu wa kaya hivi juzi. " HAIWEZEKANI SERIKAL UKUPE ELIMU BURE...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom