Tuna degree tatu na ya nne soon mwezi huu zote hazina ajira zipo nyumbani tu, hapa namaanisha tupo vijana wanne wenye degree za hivi karibuni home bila ajira.
Nimeamua kujiajiri baada ya kupambana mtaani kwa muda kidogo nimefungua kastationary kangu, sasa hawa ndugu zangu bado kazi kweli kweli.
Juzi umetokea msiba nyumbani brother yetu kafariki dah hapo sasa na degree zetu ni kuangaliana tu huwa tunaomba hata usitokee ugonjwa mkubwa kwa sasa.
Tumepiga msuli wa sayansi vizuri tu wengine maswala ya ujenzi wengine madini na lawyer mmoja. Sasa kwenye madini na huu utata ndo hapaaminiki kabisa.
Duh serikali ipo wapi kufanya mchakato watu tupate ajira naamini kwa hawa wanne hapawezikosa hata mmoja kupunguza makali ya ugumu. Mtaani pesa nayo ishakuwa ngumu biashara haziendi na TRA hawachezi mbali. Kujiajiri kwa sisi wa familia za chini siyo kitu rahisi hata kidogo hivyo watu wasiwabeze graduates.
Binafsi nimepambana mno hadi kuweza kufungua haka kabiashara kadogo ambapo mpaka sasa asilimia 70 niliohitimu nao hali mbaya wengine wanaishia kudanganya ana ajira siku umuombe kamkopo kadogo tu chenga za hapo utakubali.
Serikali ifanye wepesi kuajiri wasomi wake wanafunzi waliwekeza zaidi ktk shule kujiajiri iwe ni matokeo tu lakini siyo muwashurutishe kujiajiri au muwaache hivihivi.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.