Hii petrol station ni ya Ridhione?

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
3,450
Muda huu nikiwa manyoni,nikaona nicheki distance kutoka Manyoni mpaka Kaliua ili nijue tutafika muda gani!
Nikaingia google map,nikaingiza destination maana yenyewe automatically inasense your location ambayo ndio starting point!
Daaah,ikaniletea kila kitu kama ninavyotaka,ila hiyo petrol station pembeni ya barabara ndio imenifanya nijiulize,yawezekana kweli dogo anamiliki petrol stations around the country kama kale kauvumi kalivoenea!
Cheki kapicha hapo chini!
Screenshot_2017-07-13-17-40-43.png
 
Kwani kumiliki hiyo petrol station ni kuvunja sheria za nchi au dhambi kwa Mungu??
 
Muda huu nikiwa manyoni,nikaona nicheki distance kutoka Manyoni mpaka Kaliua ili nijue tutafika muda gani!
Nikaingia google map,nikaingiza destination maana yenyewe automatically inasense your location ambayo ndio starting point!
Daaah,ikaniletea kila kitu kama ninavyotaka,ila hiyo petrol station pembeni ya barabara ndio imenifanya nijiulize,yawezekana kweli dogo anamiliki petrol stations around the country kama kale kauvumi kalivoenea!
Cheki kapicha hapo chini!View attachment 536116

mtoto wa Bro pia anaitwa Ridhi one, una maanisha yupi sasa..?
 
Ndugu yangu,ningeandika Ridhione anatafuta msaada apelekwe india kutibiwa,basi huyo mtoto wa Bro wako angekuwa anahusika!Kwenye hizi mambo hizi kubwa kubwa,yuko Ridhione mmoja,mpaka aje kutokea mwingine!Until further notice,stick to that!
 
Back
Top Bottom