Wakili Jerome Msemwa ajitoa kesi ya Malinzi, Mwesigwa na Nsia

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,399
advctMsemwa.png

Wakili Jerome Msemwa leo ametangaza kujitoa katika kesi inayowakabili Rais wa Shirikisho la Mpira nchini(TFF), Jamal Malinzi na Wenzie wawili(Celestine Mwesigwa na Nsia.

Msemwa ambaye alikuwa akiwatetea washtakiwa hao, ameandikia barua kwa Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri leo July 5, 2017 akieleza amejitoa katika kesi hiyo kutokana na kutopata maelekezo sahihi kutoka kwa wateja wake.

Viongozi hao wanakabiliwa na mashtaka 28 yakiwemo ya utakatishaji fedha na ufisadi.
0700d5eab8655a14fba3f7057c49267b.jpg
 
Wakili Jerome Msemwa amejitoa kwenye kesi inayowakabili Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, TFF Malinzi na maofisa 2 wa Shirikisho hilo....

Unaweza Kupata Updates zaidi Twitter follow @lifeofdeo

30d8e6d11877094e50182352916a3b29.jpg
 
Wakili Jerome Msemwa leo ametangaza kujitoa katika kesi inayowakabili Rais wa Shirikisho la Mpira nchini(TFF), Jamal Malinzi na Wenzie wawili(Celestine Mwesigwa na Nsia.

Viongozi hao wanakabiliwa na mashtaka 28 yakiwemo ya utakatishaji fedha na ufisadi........
Rekebisha hiyo title. Weka jina la wakili Msemwa badala ya Malinzi.
 
Sasa limevunda kwa Malinzi. Hali si hali.
Kumbe angejiuzulu mara baada ya kukamatwa, kiheshima fulani angebaki nacho.

Next TFF President??
Anybody lakini sio msomali Karia Woria
 
Karia atachukua sababu ndiye aliyeandaliwa

Haihitaji PhD kujua hilo
 
Wakili Jerome Msemwa leo ametangaza kujitoa katika kesi inayowakabili Rais wa Shirikisho la Mpira nchini(TFF), Jamal Malinzi na Wenzie wawili(Celestine Mwesigwa na Nsia.

Msemwa ambaye alikuwa akiwatetea washtakiwa hao, ameandikia barua kwa Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri leo July 5, 2017 akieleza amejitoa katika kesi hiyo kutokana na kutopata maelekezo sahihi kutoka kwa wateja wake.

Viongozi hao wanakabiliwa na mashtaka 28 yakiwemo ya utakatishaji fedha na ufisadi.
View attachment 536000

Huyu Jerome Msemwa siyo pia wakili wa TFF?
 
Back
Top Bottom