Poleni na kazi wadau. Swali hapo juu ni lenu site. Mnakumbuka miaka 5 au 6 iliyopita, watangazaji hawa walifunika sana Capital Redio ya jijini Dar es salaam. Mwenge kujua walipo atuambie. Kwa...
Watu wengi hasa viongozi Wa serikali wanachukulia kana kwamba watu wanaopeana mimba ni maadui ndio maana kila MTU anasisitiza adhabu kubwa kwa wahusika kama ndio sukuhisho.
Ukweli ulio waz ni...
Na Mwamvua Mwinyi,Pwani
JESHI la polisi mkoani Pwani ,limewabaini baadhi ya mtandao wa watuhumiwa wa mauaji yanayoendelea wilayani Mkuranga, Kibiti na Rufiji wapatao kumi na mbili akiwemo...
Huenda hujaamua kudadisi kwa undani Muelekeo wa Dunia yetu na mustakabali wake lakini nipende kukujuza kwamba mambo yanakwenda kwa kasi KULIKO unavyoweza kudhani kulinganag na Teknolojia ya...
SIKU MBILI ZA HALIMA MDEE RUMANDE OYSTERBAY
Usiku wa kuamkia leo tarehe 6 Julai, 2017 ni usiku wa pili wa kulala korokoroni Mwenyekiti wa BAWACHA taifa, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge wa Kawe...
Wana JF, naomba msaada wa mashirika au kampuni ambazo naweza pata msaada wa vitabu kwa ajili ya shule... Any company ambayo nitawaandikia na wanaweza nisaidia ndani au nje ya nchi.. Sinto omba...
Ningependa kuikumbusha serikali kusimamia maadili ktk muziki. Kama kipindi kile walipokomalia nyimbo ya Snura. CHURA.
Kwasasa kuna wimbo upo kwenye chati sana unaimba MWANAUME MASHINE. Hakika...
Kuendelea kujengwa kwa viwanda vingi Tanzania kutaongeza ukuaji wa uchumi maradufu na kuipiku Kenya, maana hadi sasa bidhaa za Kenya zinazidi kupungua sokoni, wakenya wamebakiwa Blue band tu...
Nimekuwa mtumiaji wa Huduma za UDART maarufu kama usafiri wa mwendokasi.
Binafsi Huduma za taasisi hii kiukweli zinatolewa chini ya kiwango tofauti na nchi nyingine duniani ambako huduma za namna...
Kwa PAYE hii ninayokatwa kila mwezi ambayo nimechangania kwa kipindi changu cha ajira sipashwi.
Kupita barabara yenye shida hizi,
Kukaa mtaa usiokuwa na miundombinu inayofaa
Kutibiwa kwenye...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Baada ya mchele wa plastic kwa sasa wachina wanaenda kutuletea maharage ya plastic
Hii inch ina dola na viongozi wa...
Poleni na kazi wadau. Swali hapo juu ni lenu sote. Mnakumbuka miaka 5 au 6 iliyopita, watangazaji hawa walifunika sana Capital Redio ya jijini Dar es salaam. Mwenye kujua walipo atuambie. Kwa...
UCHAMBUZI WA KITABU; (Jinsi Watu Wanavyofanya Makubwa Bila Ya Kuwa Na Majina Makubwa).
Kwenye jamii zetu, imezoeleka kwamba kiongozi ni mtu ambaye anafanya maamuzi makubwa, maamuzi magumu na...
Toka upungufu wa watumishi ktk kada mbalimbali kuongezeka baada ya ktolewa kwa report 1 UHAKIKI vyeti fake, je najiulza hv serikali inafkr nn kuzba pengo la watumishi hasa ktk kada nyeti kama...
Serengeti. Washtakiwa watatu wa makosa ya ujangili wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja kwenye kesi tofauti baada ya kutiwa hatiani na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya...
MIHADARATI: Abiria wa basi la Bunda kutoka Mwanza kwenda Dodoma wakwama Misungwi baada ya basi hilo kukaguliwa na polisi na kukutwa na mifuko 4 ya Mirungi
Chanzo: Mwananchi
Mheshimiwa waziri, pole kwa majukumu.
Kumekuwa na migogoro mingi ya ardhi katika nchi yetu, mara kuuziwa ardhi mara mbili mbili, mara mipaka etc.
Vile vile kumekuwa na ujenzi holela hata sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.