Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,612
Kwanini polisi wanalinda mabanki ya binafsi wakati ofisi kubwa za serikali kama TRA, halmashauri, mahakama, ofisi za wizara nk, wanalinda mgambo wa kawaida wasiokuwa na afya nzuri pengine?
Kuna haja kukufahamu!!Kwanini polisi wanalinda mabanki ya binafsi wakati ofisi kubwa za serikali kama TRA, halmashauri, mahakama, ofisi za wizara nk, wanalinda mgambo wa kawaida wasiokuwa na afya nzuri pengine?
Kwanini polisi wanalinda mabanki ya binafsi wakati ofisi kubwa za serikali kama TRA, halmashauri, mahakama, ofisi za wizara nk, wanalinda mgambo wa kawaida wasiokuwa na afya nzuri pengine?
Mbona finca hawapoNi takwa la kisheria kwa ulinzi Wa fedha za umma.
Mi sio mualifu na nikitaka kuiba pesa bank sivamii natumia technology, am IT by professional and am working at finance instituteMuhalifu utamjua Tu mambo ya Polisi kuwa Benki wewe inakuuma nini
Sio lazima ulindwe na Polis. Unaweza kulindwa na any security entinty of ur choiceMbona finca hawapo
Mi sio mualifu na nikitaka kuiba pesa bank sivamii natumia technology, am IT by professional and am working at finance institute
Tuko kiupigaji zaidiKwanini polisi wanalinda mabanki ya binafsi wakati ofisi kubwa za serikali kama TRA, halmashauri, mahakama, ofisi za wizara nk, wanalinda mgambo wa kawaida wasiokuwa na afya nzuri pengine?
Mkuu, kwa andiko lako hufanani na mtu mwenye wajihi uliojitanabaisha nao katika hii commentMi sio mualifu na nikitaka kuiba pesa bank sivamii natumia technology, am IT by professional and am working at finance institute
Dah! Kudadeki hahahaha!Muhalifu utamjua Tu mambo ya Polisi kuwa Benki wewe inakuuma nini