Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kipindi cha kampeni za urais wa Marekani mwaka jana kuna habari za kizushi zilizokuwa zinasambazwa mtandaoni kuhusu rais Donald Trump [wakati huo akiwa mgombea] kusema maneno ya kashfa kuhusu...
11 Reactions
37 Replies
4K Views
Is it money? Is it fame? Is it weed? Is it drink? Is it comin' down with the loud pipes and the rain? Tell me who you loyal to Is it love for the streets when the lights get dark? Is it...
0 Reactions
4 Replies
777 Views
Baada ya tuhuma za rushwa kule Mwanza, ukatangaza kwenye media kama umeamua kujitoa kwenye mchakato wa uchaguzi wa TFF lakini baada ya wapambe wako Mwenyekiti wa DRFA Almasi Kassongo na Mwenyekiti...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dr. Hamisi Kigwangalla, ametoa shukrani kwa followers wake kupitia ukurasa wake wa Twitter kwa kuwaambia kuwa anawashukuru sana...
4 Reactions
66 Replies
11K Views
jumapili iliyopita nilikua kanisani,katika mengi, mchungaji aligusia 'the acts of Christian/kindness' iliyoonyeshwa na watu,waliojitolea chakula na malazi kwa walionusurika na ajali ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza hvi mbunge anapozuiliwa kuingia bungeni kwa muda Jimbolake haliwezi kutetewa tena bungeni kwa huo mudaa *hawezi kuomba mwenzie kusemea matatizo yake? Sent using Jamii...
0 Reactions
2 Replies
664 Views
Wakuu kama umemsikiliza Yoweri Kaguta museveni basi utagundua mzee huyu alikuwa anatupa dongo kwa nyombo vyetu vya usalama Juu ya swala la Ulinzi wa mipaka yetu, Museven alipita Horohoro Tanga uku...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu!, Kutokana na kero mbalimbali Kwa wamiriki Wa magari yasiyo ya abiria, naomba kuleta kwenu pendekezo la kuanzishwa Kwa chama rasmi, chama ambacho kitakuwa daraja la kufikisha...
2 Reactions
7 Replies
886 Views
Leo nilikuwa mahala fulani napata huduma, mara akaja mtu mmoja ambaye ni kipofu na msaidizi wake bwana mdogo mmoja hivi. Jamaa akatoa shilingi elf moja akampa yule msaidizi wa kipofu sasa jambo...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu habari, yamkini wote wazima wa afya Nikiangalia hawa watangazaji wa mpira wa miguu (Commentators) ambao wanakuwa kwenye chumba maalumu uwanjani, na watangazaji (Reporters) ambao wanaripoti...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Miaka kadhaa iliyopita ITV walikuwa wakifanya coverage ya karibu sana na bwana Gidabudai. Moja kati ya vitu mabavyo navikumbuka ni kauli yake ya kusema "kama Tanzania itapata medali yoyote kwenye...
1 Reactions
3 Replies
758 Views
Hakuna ubishi wowote, heshima ni moja ya kitu ambacho karibu kila mtu anakitafuta katika maisha yake. Hakuna mtu ambaye hataki asiwe wa kuheshimika, heshima inatafutwa na watu wengi sana. Ndio...
6 Reactions
24 Replies
7K Views
WanaJF nauliza hivi kumwambia mpenzi wako mshahara unaopata kunatatizo lolote?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanini? Ukiishi maisha yako halisi utapungua nini? Unajua ni gharama kiasi gani inakucost kwa kuishi maisha feki na ya kuigiza? Kipato chako kinaruhusu wewe kuvaa nguo high quality za mtumba...
12 Reactions
83 Replies
6K Views
Sasa imekuwa mazoea kila jambo hata lisokuwa na maana ni marufuku kwenye nchi ya Tanzania. Magari kuwa na 'tinted' nayo imekuwa marufuku. Sasa hata wataalama walioweka vioo hivyo hawana maana...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, hivi Zanzibar (Tanzania Visiwani) kuna viongozi wangapi? na ina watu wangapi jumla?. Kwa sababu nimeona watu wafananishe na Tanzania Bara (Tanganyika) na idadi ya watu, maana...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji wakili sasa hivi yasizidi masaa mawili aje anigongee muhuri wa ku certify copy ya vyeti vyangu. Mimi nimesoma nje ya nchi sasa kuna utaratibu lazima vyeti vyangu nivipeleke TCU...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom