Christina84
Member
- Aug 5, 2017
- 74
- 50
jumapili iliyopita nilikua kanisani,katika mengi,
mchungaji aligusia 'the acts of Christian/kindness' iliyoonyeshwa na watu,waliojitolea chakula na malazi kwa walionusurika na ajali ya moto-London.
Alisema most sio wakristo waliofanya hivyo,ila kuna watu wanajibainisha ni wa kristo,ila hawatendi jinsi ambavyo wakristu,tunatakiwa kua.
MIMI sio kama nina wivu na Gwajima,ila hii ya kununua ndege,tuambizane ukweli sio kukufuru huku???,