Museven kupitisha Bunduki kimagendo Hororo

Dow

Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
56
Reaction score
34
Wakuu kama umemsikiliza Yoweri Kaguta museveni basi utagundua mzee huyu alikuwa anatupa dongo kwa nyombo vyetu vya usalama Juu ya swala la Ulinzi wa mipaka yetu, Museven alipita Horohoro Tanga uku akiwa na hizo Bunduki bila kugundulika mpaka Kampala?
 
Wakuu kama umemsikiliza Yoel Kaguta museveni basi utagundua mzee huyu alikuwa anatupa dongo kwa nyombo vyetu vya usalama Juu ya swala la Ulinzi wa mipaka yetu, Museven alipita Horohoro Tanga uku akiwa na hizo Bunduki bila kugundulika mpaka Kampala?
Ile Museven Katia story tuu,hiyo ilikuwa wakati anapambana kuchukua nchi,alikuwa na sapoti full ya muungwana.Hiyo smuggling siyo kweli ni story tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kwamba hakugundulika, ujue Nyerere alikuwa akiwasaidia sana hawa jamaa. Amekaa sana kuke Bukoba porini akiandaa jeshi huyu. Unadhani serikali haikufahamu? Kumbuka TISS ya siku zile ilikuwa makini sana, siyo hii ya siasa za siasa!!
 
kwa maelezo yake yale,dhana kwamba tulimchokoza idd amini huenda ikapenya kwa wanaofikirisha bongo zao..kwa kua kadai ilikua 1972
 
ilikua inaitwa SPECIAL BRANCH mkuu
 
kwa maelezo yake yale,dhana kwamba tulimchokoza idd amini huenda ikapenya kwa wanaofikirisha bongo zao..kwa kua kadai ilikua 1972

yap ni kweli kabisaa Iddy alichokozwa na hao akina kagame, museven na fred rwegema ni product za nyerere wamepitia monduli na mpaka kupelekwa vietnam kwa kodi za watanzania, museveni kaishi saana katika mapori ya muleba na alikua anapewa silaha na mambo mengine kwenda kumchokonoa iddy pia inasemekana hata mama yake mzazi general Muhozi ni mhaya ingawa historia inatuambia kua nae alipotea kama Ben saanane baada ya NRM kuchukua nchi
 
duuh!..walikaa pia tabora kijiji kimoja kinaitwa kigwa,wamekula sana nyani wa pale
 
Siyo kwamba hakugundulika, ujue Nyerere alikuwa akiwasaidia sana hawa jamaa. Amekaa sana kuke Bukoba porini akiandaa jeshi huyu. Unadhani serikali haikufahamu? Kumbuka TISS ya siku zile ilikuwa makini sana, siyo hii ya siasa za siasa!!
Historia ya Kaguta alikuwa TISS ya Uganda cwakati anaomba kuja kusoma UDSM, na alianza harakati akiwa hapa.
Moja ya sababu za Nyerere kumdharau Amini ilikuwa elimu yake ya darasa la nne, na mapinduzi ya kwanza yalikuwa mwaka 1972
 
aisee hatari sana
 
kwa maelezo yake yale,dhana kwamba tulimchokoza idd amini huenda ikapenya kwa wanaofikirisha bongo zao..kwa kua kadai ilikua 1972
Nyerere alikuwa na chuki binafsi na Idd Amin,na sababu kubwa ni urafiki wao na Obote hivyo alitumia kila mbinu kumuangusha Idd Amin.Mseven alikuwa kijana wa Nyerere,hata kusoma alisoma Udsm na akina John Garangi na wengineo.Walikuwa na umoja wao enzi hizo za Dar school,wakienda kupigana Mozambique,Angola na kwingineko dhidi ya ukoloni,ni katika mrengo huo,M7 alipata hifadhi Kagera na hata kuwezabkupitisha siraha atakavyo.Leo kazeeka anajifanya kusahau,ni mpuuzi tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom