Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kupima haja ndogo si tatizo hata siku moja, tunapima sana, watu wanapima daily.... Hata kwenye ushirikina walozi hawachukui kila haja ndogo ni lazima wapime (kwa vipimo vyao) ipi inafaa na ipi...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Kutoka kwenye group moja la whatsapp.. liliandikwa sikitiko kubwa bila marafiki na ndugu kuwa na uwezo wa kubadili kilichotokea JANA GEREZANI.. la ndugu wa walio magereza kwenda kuona ndugu zao na...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Ni kwa mujibu wa mmoja ya vichwa vya habari gazeti NIPASHE la Leo.
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Mimi nina kibiashara changu cha nyumba ya kulala wageni maeneo ya Kigamboni, nimesajiri na ninalipa Kodi TRA kama kawaida, tumekuwa tukilipa Manispaa ushuru wa nyumba za Kuala wageni(Hotel Levy)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanini kuomba ya kudahiliwa CHUONI iwe Tsh.10,000/= halafu kuomba MKOPO katika Bodi ya Mikopo iwe Tsh. 30,000/=? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
859 Views
Ushauri wenu wakubwa juu ya hizi faculty kama zipo poa Applied zoology na botanical science Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
586 Views
1. Wachawi wanakamatwa na mgambo. 2. Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu. 3. Jini anavuka barabara anaangalia kushoto na kulia anatizama usalama kwanza. 4. Risasi inachukua dakika...
5 Reactions
33 Replies
5K Views
Ni jana tu nilivyoongeza salio langu la Airtel money ili ninunue umeme (luku).. So nikafanya muhamala wangu vizuri then nikatumiwa ujumbe ya kwamba muhamala wangu unashughulikiwa na fedha...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hata angegombea Dr Slaa Uraisi wala asingeshinda hata wabunge wasingekuwa wengi. Siasa za Tanzania ni ngumu kuliko maisha na majadiliano kwenye jamii forum. Ukitaka kuijua Tanzania nenda kwenye...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Narejea kwako Sam Mahela na mbwembwe zako eti Agasti Nane hatuna neno Agasti tuna Agosti nimeshawasikia waandishi wengi wa runinga na redio mnakosea kuutamka huu mwezi...Sam nimemrejea tu kama...
0 Reactions
6 Replies
825 Views
Mwanasheria wa mwanamke huyo aliyejitambulisha kwa jina la Shukuru Khalifa alisema mteja wake alikamatwa mchana alipokuwa akiandaa banda hilo. Mwanamke aliyeangua kilio mbele ya Rais John...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari ya jioni wana JF.Natumaini weekend inaenda vizuri japo maisha yamekua hayana formula.Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu kampuni ya platinum investment .nawasilisha Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
3 Replies
817 Views
August 4 2017 Upande wa serikali umewasilisha pingamizi la awali Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga maombi ya dhamana ya mfanyabiashara Yusuf Manji. Pingamizi hilo limewasilishwa leo na wakili wa...
2 Reactions
175 Replies
31K Views
Habari wana jf, nataka kujua ni kweli kwamba kuna waganga wa jadi wanaotoa utajiri au ni maneno tu?. Maana kumekuwa na utitiri wa mabango barabarani kuhusu matangazo ya waganga hao Sent using...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Leo Katika kupitia vigezo na masharti vya kuapply Mikopo ya elimu ya juu nikakutana na kipengere kinachosema, nanukuu; "Applicants whose their parents are leaders listed in public leadership code...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
  • Closed
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi...
9 Reactions
127 Replies
12K Views
Huyu dada nampenda sana.... Sina maneno yakuelezea zaidi... Maua wherever you are nakuelewa sana..
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Kwanza niharakishe kuandika kuwa mimi ni mfuasi wa Tundu Lissu, kuanzia jioni hadi asubuhi, siku saba za wiki. Lakini pili, kama mwanachama wa kawaida wa CDM, Lissu ni kiongozi wangu. Na ieleweke...
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Dar es Salaam. Kuna vilio vingi vya kupoteza mali kutokana na bomoabomoa inayoendelea kupisha ujenzi wa barabara ya Morogoro, lakini sikia cha cha familia hii. Hivi sasa familia hiyo iliyowekeza...
14 Reactions
193 Replies
22K Views
Back
Top Bottom