Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu nahitaji wakili sasa hivi yasizidi masaa mawili aje anigongee muhuri wa ku certify copy ya vyeti vyangu. Mimi nimesoma nje ya nchi sasa kuna utaratibu lazima vyeti vyangu nivipeleke TCU...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Ninaandika hoja yangu hii nikiwa makini vya kutosha baada ya kuchuja kwa undani ukweli na chanzo cha matatizo ya nchi yetu kwa leo. Ninakumbuka kwa kiasi kuwa enzi za siasa ya chama kimoja...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Sio anunue ndege ya gharama kubwa tena iliyotumika, kimeo ambacho matengenezo yake yatazidi kuwatia waumini mzigo mkubwa zaidi wa sadaka na michango. Askofu awasaidie maskini, ajenge shule...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma imemhukumu kifungo cha mwaka moja gerezani mwalimu wa Shule ya Msingi Mtamba iliyopo katika Kata ya Rudi, Stephano Kuchera kwa makosa ya wizi wa vitu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Agizo hilo lilitolewa hivi karibuni na Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Benaya Kapinga, kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya, Selemani Mzee, alipokuwa akizungumza na watumishi hao pamoja na madiwani, katika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hatua hiyo imemfanya Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk. Charles Tizeba, kuagiza alipwe fedha hizo haraka. Mshandoo ambaye ni mshindi wa kwanza katika mashindano hayo, alifikisha malalamiko...
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Waziri wa Afya amepiga STOP kabisa wagonjwa wa moyo kupelekwa nje ya nchi kwa gharama za Serikali kwasababu tuna Taasisi ya moyo nchini ya Jakaya Kikwete pale Muhimbili. Na kama ikitokea mgonjwa...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
SOURCE: Alasiri [Accessed 2008-08-11 19:25:26] Mhadhiri wa Chuo cha Kilimo cha Sokoine, SUA, Dk. Damian Gabagambi amedai kuwa marufuku ya kuwazuia wakulima kuuza mazao yao ndani na nje ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika siku hizi za karibuni tumeshuhudia trends ambazo ziko disturbing sana.Kwamba sasa sekta za huduma kama elimu ndizo zinazotengewa fedha nyingi zaidi na serikali kuliko sekta za uzalishaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
3K Views
SIMU KUTOKA TIGO ngrrriiiiiii!!!!!!!!! NGriiiiIIIIII! TIGO; mimi ni -----naongea kutoka Tigo tunaongea na? MIMI; nakusikiliza TIGO;umewahi kutumiwa ujumbe wowote juu ya TIGO BIMA...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii operation ya kukamata wauza spare imekuja baada ya magari zaidi ya 10 yaliyokua kwenye msiba wa mke wa Mh Mwakyembe kuibwa vifaa vya ndani, jambo lililopelekea kukamatwa kwa wauza spare used...
26 Reactions
95 Replies
10K Views
Awali napenda kuishukuru serikali kwa kuweka wapelelezi wao kwenye maduka kariakoo. ili kuwabaini watu wasiotoa risiti za EFD. Na wale wanao ondoka bila risiti baada ya kununua bidhaa zao hili...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nakumbuka mwaka wa jana na kawaida ya miaka yote, miezi kama hii nchi huwa inatikiswa na burudani kubwa ya sanaa ya muziki maarufu kama Fiesta Naona mwaka huu kimya kabisa, wala siwasikii kabisa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nianze kwa Kukupongeza sana na mno kwa hatua au kitendo cha Kishujaa kama siyo cha Kiungwana ulichokifanya leo kwa kuwapatanisha Vijana waliokuwa wana Uadui / Bifu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Mkazi wa Kimara asema tangu nyumba yake iwekwe X ameugua shinikizo la damu na kama wataibomoa hatotoka ndani ili wamfukie humo My take: Jukumu la kwanza la serikali kwa mujibu wa Katiba ni ustawi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada wenu, kuna kesi tuliifungua mahakamani juu ya jamaa mmoja mwenye heshima zake na familia, ambaye huko nyuma tulipatana nae kutusaidia kutukopesha kiasi cha milioni 2 ili...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
pamoja na kazi kubwa waliyonayo ya kulinda RAIA na Mali zao lakini kuna jambo ambalo najiuliza mpaka kesho...!! Iko hivi Mnamo mwaka 2014 nikiwa chuo mkoani Mwanza, kijana niliyemwajiri kunifanyia...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
MAKE IT (PAN AFRICANISM) SEXIE Make it of light complexion and of less complication, Make it simple, attractive, precise Make it sexy... Tena, have it end with an 'ie' instead, As the 'y' doesn't...
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Back
Top Bottom