Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,665
Wakuu nahitaji wakili sasa hivi yasizidi masaa mawili aje anigongee muhuri wa ku certify copy ya vyeti vyangu.
Mimi nimesoma nje ya nchi sasa kuna utaratibu lazima vyeti vyangu nivipeleke TCU wakavihakiki.
Naomba msaada wako ewe wakili uliyekaribu na ninapoishi hapa MWANANYAMALA DAR ES SALAAM.
Naomba PM kisha nikupe namba za simu.
Sent using Jamii Forums mobile app