Zanzibar kuna viongozi wangapi?

Lusajo

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
456
30
Naomba kuuliza, hivi Zanzibar (Tanzania Visiwani) kuna viongozi wangapi? na ina watu wangapi jumla?. Kwa sababu nimeona watu wafananishe na Tanzania Bara (Tanganyika) na idadi ya watu, maana nilikuwa nataka kujua "ratio" ya watu na viongozi kati ya Tanzania Bara na visiwani? na Je ni wangapi wanachaguliwa katika viti maalumu kutoka huko? Maana naona kama Viongozi ni wengi sana Zanzibar.
 
ni wengi sana, mbunge wa zanzibar anawakilisha watu chini ya 2,500, lakini wanalipwa sawa na mbunge watanzania ambaye ana watu zaidi ya 50,000
 
Hahaha nilienda zbar nikaona jinsi wilaya na majimbo ya chaguzi yalivyo wajua ni kichekesho kabisa....haki tena wilaya ndio balaa kabisa..mfano eneo sawa na posta mpya,posta zamani.......hadi railway gerezani...kamata...mnazi mmoja...MKoa Tayari....ndani kuna wilaya 3..huwezi amini.....Mjini Magharibi ni kituko kabisa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom