Ili tuseme kuwa mtu ana ugonjwa wa akili, mental illness/psychosis. Inabidi dalili za tatizo hilo, ziingilie na kuathiri mwenendo wa maisha yake ya kila siku.
Utakuwa unaikosea adabu taaluma ya...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye natamani kuona ndoto zangu za kuwa msomi mkubwa zinatimia kwa kwa njia yoyote ile ya halali.
Natafuta na naomba mfadhili...
Kati ya watu wafuatao yupi wewe kwa ufahamu wako ndiye hasaa?
1. Anayefuata imani ya kiyahudi yaani dini ya mayahudi, au
2. Raia wa asili wa nchi ya asili ya Wayahudi, au
3. Yule mwenye...
Habari za muda huu popote mlipo ndugu zangu.Mimi ni mwanafunzi muhitimu wa Chuo cha Madini Dodoma. Nimefanikiwa kumaliza chuo mwaka huu wa masomo 2016/2017.
Miezi miwili baada ya kumaliza masomo...
Kama muonavyo pichani hiki ni kiwanda cha kutengeneza pombe aina ya Spirit/Gin
Kimsingi na inafahamika nchi hii inaendeshwa kwa % kubwa na kodi itokanayo na vileo(Pombe)
Hivyo kwa kutekeleza Sera...
Kwamuda mrefu sasa wamekuepo watoto ambao wanaomba hela kona ya pili (jina halisi sipajui)ukitokea Mombo kwenda Lushoto.Watoto hao watakua wamekimbia shule na jamii inayowazunguka nadhani...
Serikali ya mkoa wa Shinyanga imelazimika kukifunga kiwanda cha nyama cha Shinyanga na kukirudisha serikalini rasmi baada mmiliki anayetambulika kwa jina la TRIPLE S kushindwa kukiendesha na...
Huawei Tanzania’s Public relation Officer, Frank Amani hands over a book to a Tanzanian ICT student in Beijing, China over the weekend after.....The 2017 Seeds for the future program students...
Combination ya Siza na Sasali inafanya vizuri sana ktk kipindi cha clouds 360.Nashauri Ngoma atakaporejea apelekwa 360 on saturday akaungane na Kija plus Pilipili.Huku 360 ya wakubwa wabakie...
Jamani wapendwa mimi mkewangu ni mjamzito hivyo nimeamua kumuekea bili ya maziwa flesh.Lakini kila wakileta hayo maziwa siyaelewi.
Siku nyingine yanakua na harufu mbaya yaani yakichemshwa tu...
KIFA NG’ONG’O-MCHEZO WA KIFO
Nakumbuka wakati nikiwa bado mdogo tulikuwa tunacheza mchezo uitwao “kifa ng’ong’o”. Mchezo huu ulifanywa kwa makusudi maalum ya kuonyesha ukakamavu na uhodari pamoja...
Asilimia 60 ya bidhaa zote zinazozalishwa nchini lazima kwanza ziweze kununuliwa na kutumiwa na watanzania wenyewe kabla ya kufikira kupeleka masoko ya nje, bila hivyo viwanda vyetu vitashindwa...
hadi 2008 asilimia mbili ya wamarekani walikuwa ni wakulima lakni wanalima na kulisha sio tu marekani bali wanalisha hadi kutoa msaada nchi masikini.
ni kweli hatuwezi kujilinganisha na mabeberu...
Wakuu nimekutana na habari hii kutoka gazeti la The citizen kuhusu maabara ya kisasa iliyogharimu zaidi ya Tsh 2 Billion kwa ufadhili kutoka Uturuki lakini cha kusikitisha inamiaka karibu miwili...
Wana JF mwaka umekaribia kumalizika Hivyo naleta hii mada kwenu kuona ni mada gani imekugusa kwa mwaka 2007 ili kuweza kuandika walau report ya chapter 10 ya topic zilizogusa wengi Mwaka huu. Mimi...
Operesheni ya kukabiliana na uzalishaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya inayoendelea katika wilaya ya Arumeru mkoani Arusha imewezesha kukamatwa kwa Magunia zaidi ya...
Alibaki mwenye mshangao huku machozi ya uchungu yakimbubujika kutokana na kutotarajia kama atajifungua watoto wanne, ikiwa ni ongezeko la wawili kati ya aliokuwa akiwatarajia.
Matarajio yake...
Mambo vip, mimi ni mtanzania nipo hapa cordoba city,argentina south america nawatafuta wana afrika mashariki both kenyans,ugandan and tanzanians tuonane ,to know each other , ni mwaka watatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.