Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mambo vip, mimi ni mtanzania nipo hapa cordoba city,argentina south america nawatafuta wana afrika mashariki both kenyans,ugandan and tanzanians tuonane ,to know each other , ni mwaka watatu...
13 Reactions
86 Replies
9K Views
Imenibidi nielezee masimago tunayopata/niliyopata katika kipindi chote ambacho nimekuwa na sijawahi kuonja pombe. Mwanzoni nilifikili hii tabia ya kudharauliwa kwa sababu ya kutotumia pombe iko...
16 Reactions
244 Replies
17K Views
habari wadau.. kwa kweli hela imekuwa ngumu sana watu wanauza vitu kwa bei ya kawaida sana ila hela tu ya kununulia unajikuta huna.. jana nilikuwa chanika viwanja bei nzuri sana nikikumbuka...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mateso ni makubwa. Tunateswa makusudi upande wa kutoa leseni za udereva. Tangu asubuhi ni watu 2 wamepewa leseni tena wanawake. Vishoka nao ni wengi wanaingilia utaratibu. Tafadhali wahusika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwalimu wa fani ya elektroniki kutoka Mamlaka ya elimu na mafunzi ya ufundi (Veta) kituo cha Kipawa jijini dar es Salaam, Aneth Mganga, amegundua teknolojia mpya ambayo itakuwa mwarobaini...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu naomba kufahamu ile amri iliyotolewa na polisi ilikuwa ni matakwa ya sheria au mapenzi binafsi na utashi wa aliyetoa ile amri? Kama ni kisheria kwann imetenguliwa? Kama ni utashi wa...
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Habarini wanajamvi, Watu wengi tumekuwa tukiishi kwa mazoea bila ya kuwa na udadisi kwa vitu tunavyofanya au hata kusema kila siku, yapo maswali mengi amabyo mtu anaweza kujiuliza kwa mfano: nini...
1 Reactions
33 Replies
8K Views
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umewataka wasafirishaji na wauzaji wa mkaa nchini, kuhakikisha ujazo wa mkaa hauzidi kilo 50 ili kuepuka adhabu inayotokana na kukiuka Sheria ya Vipimo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu za mikoa mbali mbali nimegundua lile zoezi la kutokomeza viroba limefanikiwa ila bado vijana wanalewa tu mida ya kazi kumbe wale wauza viroba wamegundua mbinu mpya siku...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
watumiaji wa redmi tukutane kijiwe hiki na maujanja ujanja ya kichina
2 Reactions
1 Replies
518 Views
WATU wasiojulikana katika Uwanja wa Maonyesho ya Wakulima na Wafugaji wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mkoani Morogoro, wameiba ng’ombe wa maonyesho katika banda la Wilaya ya Temeke na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kijana mmoja amekamatwa maeneo ya Mpakani-Mlalakuwa akichangisha rambirambi kuwa kafiwa na mdogo wake wa miaka miwili. Kijana huyo ameonekana si mwenyeji wa maeneo hayo na alipobanwa kueleza...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya kuona kasi kubwa ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya barabara nchini Tanzania na hasa Dar es salaam, nimeshtushwa mno na hali mbaya na ya kutisha ya barabara ya Tabata Kimanga...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana ndugu wa JF, Katika jamii tunazoishi mf. shule, kazini, mtaani n.k kuna watu wa aina tofauti tofauti. Je, wewe mwanaJF unaona ni aina gani ya watu ambao ni hatari katika jamii zetu...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Kiungo Haruna Niyonzima pamoja na Mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana Nicholas Gyan wamewasili rasmi Kwa ajili ya kukipiga kunako klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam. Niyonzima sambamba na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani nimeweka 5,000/= kwenye kadi ya mwendokasi nimepanda gari mara nne tuu. Inaniambia ' insufficient balance' Tuungane kupinga huu wizi.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nawasihi bodi ya mikopo kutumia weledi katika utoaji wa mikopo na kuacha ubaguzi usiokuwa na maana yoyote. Kusoma O level private isiwe adhabu kwa hawa vijana. Fuatilia uwezo wa wazazi ikiwezekana...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mmiliki wa shell hiyo ya oil cocm kuna kitu ambacho kinakera wateja Kwa miaka mingi sana nadhan Kwa wakazi wa tabata mnalishuhudia. Ni hivi mmiliki wqtendaji wako wanakuangusha maana mteja...
2 Reactions
22 Replies
7K Views
Kuna usemi usemao USITUKANE WAHENGA ANGALIA UZAZI HUO ULIPO Ndio hayoooo ya liopo sasa topic kubwa humu ushauri wa mapenzi Vishawishi,umbea,utoto, Leo vikwapa vimeota nywele tu kosa Washajisahau...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom