Morogoro. Watu wawili wamekufa kwa kupigwa risasi na askari polisi baada ya kuibuka mzozo kuhusu ng’ombe waliokamatwa katika Kijiji cha Nyalutanga wilayani Morogoro.
Pia, imeelezwa mtu mmoja...
Niende moja kwa moja kwenye hoja,
Enyi watu wa NACTE specifically mnaoshughurika na Award Verification System (AVN) ,ni wiki ya pili sasa tangu niombe hyo AVN lakini cha ajabu majibu sipewi...
Ndugu wana jamvi, natamani sana kuandika na kushauri kuhusu jeshi la POLICE Tanzania lakini kabla sijafanya hivyo naomba mnisaidie niweze kujua mambo yafuatayo ili nisije kuandika nikashauri labda...
WATU watatu akiwemo Mhasibu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Reuben Mwakasa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi kwa...
Binafsi nimesikitishwa sana na kitendo cha kupigwa risasi, kilichotokea jana kwa mwanasheria, mbunge, rais Tundu A. Lissu. Naamini kwamba watu wote wenye mapenzi mema na nchi hii, watalaani...
Salamu za jumapili kwa kila atakayesoma.
Nimeona nimpongeze Nyalandu kwa moyo wa dhati sana katika msaada kwa watoto walionusurika katika ajali ya LUCKY VICENT.
Mtaani watu wanaongea kama...
Jeshi la polisi mkoani Tabora limefanikiwa kuwaokoa mikononi mwa sungusungu akina mama wanne waliokuwa karibu kuuawa kinyama na kuchomwa moto kutokana na tuhuma za imani za kishirikina,ambapo...
Hii bank nilikuwa naisikia tu ila ijumaa ndo nlipata kisa cha yale maswahibu yalomkuta jirani. yeye ana duka la vyakula si haba ni kubwa kiasi flan. kumbe jamaa alichukua mkopo bank ya access...
Jeshi la polisi mkoani Songwe kwa kushirikiana na Mamlaka ya chakula na dawa TFDA, na Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wamekamata shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku kwa sheria ya chakula na...
Watu saba wa kijiji cha Mwambondo wilayani Uyui wanashirikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwauunguza kwa moto wanawake waanne wakiwatuhumu kuwa wachawi na wanahusika na...
Swali langu ni hilo tu..
Nyie watu mnahofia nini ?kwani hiyo dua ikisomwa inatawahusu nyie?
Hiyo ni dua maalum ya kuwasaka wasiojulikana.
Mnatutia mashaka sana.
Wakati Rais wa TLS na Mbunge wa Singida Mashariki Mh. Tundu Lissu akitibiwa huko Nairobi kwa Gharama ya Chadema pamoja na Michango ya Watanzania. Serikali imeamua kumpeleka na kulipia gharama zote...
Kuna clip ya kiongozi wa BAVICHA, amesikika akilaumu Polisi kuwa imewazuia watu wenye nia ya kumuombea Mheshimiwa Lissu kufanya hivyo.
Malalamiko haya sio sahihi kwa mtazamo ufuatao;
Ibada...
Watu wa north korea wana technology kubwa tu na tunaweza kuwafaidi mno tuanzishe uhusiano wa siri wa kijeshi na korea kupitia mgongo wa china waje watupe technlogy tuanzishe viwanda vya silaha...
Haya ni matokeo ya tafiti zilizofanywa na wataalamu kugundua watu wa nchi mbali mbali (nchi 218)wanavyoishi kwa raha na kupenda nchi zao na maisha yake,
Chanzo: Strategy: Top 10 most peaceful...
Hivi Kenya hakuna balozi wa tanzania maana sijasikia akienda kumsalimia mgonjwa na sio Kawaida mtanzania kutibiwa ughaibuni ubalozi ukawa kimya Kama ulivyo sasa
Najua wote mnafahamu historia ya gazeti la Mwanahalisi kuwa inapolikomalia jambo ujue kuna msukumo maalum nyuma yake.
Kwa sasa kumekuwa na mashambulizi makali kutoka Mwanahalisi kwenda KKKT...
Natafakari kwanini kila nikisoma gazeti la Mwanahalisi naona mabaya tu ya serikali. Najiuliza kwani gazeti hili ni la chama fulani cha upinzani?
Kwanini wasiponde pabaya na kusifia mazuri ya...
Tanzanite One inasema leseni ya kuchimba Tanzanite, Graphite na Marble kwenye kitalu cha ukubwa wa 8 sq km ilitolewa Mwaka 2000 kwa kutumia Sheria ya Madini ya Mwaka 1998. Serikali ilipobadilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.