Nyalandu nisiyemfahamu

Nyalandu nisiyemfahamu

Mnondwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
4,012
Reaction score
3,683
Salamu za jumapili kwa kila atakayesoma.

Nimeona nimpongeze Nyalandu kwa moyo wa dhati sana katika msaada kwa watoto walionusurika katika ajali ya LUCKY VICENT.

Mtaani watu wanaongea kama Nyalandu anatafuta sifa au mtaji wa kisiasa kwa jinsi alivyokuwa mstari wa mbele kusaidia matibabu kwa watoto walionusurika.

Mimi namtazama kama mtu mwenye huruma sana,mzazi mwenye uchungu,kiongozi asiye mbinafsi.Tukio halikutokea jimboni kwake lakini hakujali hilo,hapo anatafutaje kiki ya kisiasa?

Wapo wenye uwezo wa kuleta tofauti katika jamii kwa ushawishi wao tu(influence)lakini pasipo na jambo linalowaunganisha moja kwa moja huwa hawajitoi kufanya lolote,naamini NYALANDU angekuwa mbinafsi basi angekaa kimya tu,uwezo wa kula Jodari anao lakini hakuacha kufanya analoweza.

Hakufanya kwa maslahi ya kifedha,zaidi naamini atakuwa katika eneo fulani ametumia fedha zake,lakini wapo walionufaika na tukio lile.
Tuwatie moyo wenye moyo wa kujitolea,haki yake kumsifu kwa hili.
Naomba tumsifu pamoja,si lazima tuwaze sawa,munaweza pia kuwaza muonavyo.

Habeeb Marhan
 
kama haujui mambo yalivyo kaa kimya,acha kumsifia shetani kisa kavaa nguo za malaika...sio unaropoka ropoka tu asubuhi hii....tusije tukayafukua yaliyozikwa hapa ukamchukia bure kuhusiana na hilo unalolisifia...
 
Sawa, nani aliye msafi hata kwa 50% kwamba hana makandokando kwenye maisha yake? Kwahili Nyalandu anastahili pongezi.
 
Salamu za jumapili kwa kila atakayesoma.
Nimeona nimpongeze Nyalandu kwa moyo wa dhati sana katika msaada kwa watoto walionusurika katika ajali ya LUCKY VICENT.
Mtaani watu wanaongea kama Nyalandu anatafuta sifa au mtaji wa kisiasa kwa jinsi alivyokuwa mstari wa mbele kusaidia matibabu kwa watoto walionusurika.
Mimi namtazama kama mtu mwenye huruma sana,mzazi mwenye uchungu,kiongozi asiye mbinafsi.Tukio halikutokra jimboni kwake lakini hakujali hilo,hapo anatafutaje kiki ya kisiasa?
Wapo wenye uwezo wa kuleta tofauti katika jamii kwa ushawushi wao tu(influence)lakini pasipo na jambo linalowaubganisha moja kwa moja huwa hawajitoi kufanya lolote,naamini NYALANDU angekuwa mbinafsi basi angekaa kimya tu,uwezo wa kula Jodari anao lakini hakuacha kufanya analoweza.
Hakufanya kwa maslahi ya kifedha,zaidi naamini atajuwa katika eneo fulani ametumia fedha zake,lakini wapo walionufaika na tukio lile.
Tuwatie moyo wenye moyo wa kujitolea,haki yake kumsifu kwa hili.
Naomba tumsifu pamoja,si lazima tueaze sawa,munaweza pia kuwaza muonavyo.

Habeeb Marhan
tufafanulie ushiriki wake kwenye hili ikoje, yeye ni sponsor au ni member wa lile shirika?
 
Ni Kweli Nyalandu anastahiri pongezi sana hao wanaomponda wana Chuki binafsi ila ukweli ni kwamba kafanya kazi kubwa. pia Mtu huwezi pendwa na watu wote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kafanya kazi kubwa ipi...!?

Tuelezee sio wote wanafahamu...!
Mengi amefanya kupitia Mgongo wa Serikali na Wahanga wenyewe wa Ajali, hivi ni nani angeshindwa kufanya aliyo yafanya....!?

Au ni kwa kuwa yeye aliwahi tu....!!?

Anyway.....PONGEZI NYALANDU..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hili anastahili pongezi kwa kweli...kama huko ni kutafuta sifa ndio huko basi tunahitaji viongozi watafuta sifa........
ila alinishangaza alipowaweka watoto wake mbelembele kwenye shughuli ya kuwakaribisha watoto wale,
 
USIHOJI SANA,TUMELAZIMISHWA HUMU TUMPONGEZE,MAANA TUMETAKA KUKOSOA TUKAONEKANA TUNA CHUKI,WEWE UNATAKIWA USEME TU PONGEZI NYALANDU,WAAMBIE WATU WANACHOTAKA KUSIKIA...
 
Nimelazimika kukubaliana na mtoa mada,Nyalandu kwenye hili big up/thumb up au vyovyote ikavyokuwa sawa.
Nilisikia kuwa ni mwenyekiti mwenza wa taasisi iliyoleta ndege ya kuwabeba.
HONGERA NYALANDU
 
kama haujui mambo yalivyo kaa kimya,acha kumsifia shetani kisa kavaa nguo za malaika...sio unaropoka ropoka tu asubuhi hii....tusije tukayafukua yaliyozikwa hapa ukamchukia bure kuhusiana na hilo unalolisifia...
Nimemsifia kwa makubwa ambayo wewe hukuyaona,nikosoe kwa kufukuwa nisiyoyajua lakini yawe KATIKA HILI.

Habeeb Marhan
 
Sawa, nani aliye msafi hata kwa 50% kwamba hana makandokando kwenye maisha yake? Kwahili Nyalandu anastahili pongezi.
Pia anatakiwa kusoma kikamilifu siyo kukurupuka,atuonyesge uchafu wa NYALANDU katika hili.

Habeeb Marhan
 
tufafanulie ushiriki wake kwenye hili ikoje, yeye ni sponsor au ni member wa lile shirika?
Ni mwenyekiti mwenza!.
wangapi wanaukaribu na mahitaji ya watu na hawatoi chochote.
Kubwa zaidi ni ushiriki wake wa karibu,na pale siyo SINGIDA

Habeeb Marhan
 
Kafanya kazi kubwa ipi...!?

Tuelezee sio wote wanafahamu...!
Mengi amefanya kupitia Mgongo wa Serikali na Wahanga wenyewe wa Ajali, hivi ni nani angeshindwa kufanya aliyo yafanya....!?

Au ni kwa kuwa yeye aliwahi tu....!!?

Anyway.....PONGEZI NYALANDU..

Sent using Jamii Forums mobile app
Msitari wa mwisho ndiyo wenye mantiki,kuwahi walikuwepo wengi waliwahi,kuona nini cha kufanya baafa ya kuwahi ni kuleta tofauti ya kuwahi na kuokoa maisha.

Habeeb Marhan
 
kwa hili anastahili pongezi kwa kweli...kama huko ni kutafuta sifa ndio huko basi tunahitaji viongozi watafuta sifa........
ila alinishangaza alipowaweka watoto wake mbelembele kwenye shughuli ya kuwakaribisha watoto wale,
Ha ha ha,mantiki ni kuwa watoto wawe na watoto wenzao,tena ingewezekana ilibidi watoto wapokelewe na watoto,ila masuala mengi yangewashinda kuyafanya kwakuwa ni WATOTO.

Habeeb Marhan
 
USIHOJI SANA,TUMELAZIMISHWA HUMU TUMPONGEZE,MAANA TUMETAKA KUKOSOA TUKAONEKANA TUNA CHUKI,WEWE UNATAKIWA USEME TU PONGEZI NYALANDU,WAAMBIE WATU WANACHOTAKA KUSIKIA...
Hukulazimishwa,unatakiwa kuthibisha tofauti tu,kaka LUBEDE unatakiwa kutoa sababu kwanini Nyalandu hastahili pongezi.
Pia haikuwa na ulazima wa kuandika chochote kama huoni sababu ya pobgezi kwake.

Habeeb Marhan
 
Back
Top Bottom