SONGWE: Polisi, TRA na TFDA wakamata shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Jeshi la polisi mkoani Songwe kwa kushirikiana na Mamlaka ya chakula na dawa TFDA, na Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wamekamata shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku kwa sheria ya chakula na dawa na kwamba havijasajiliwa kwa matumizi ya binadamu ambapo vimenaswa vikiingizwa nchini kupitia forodha ya Tunduma kwa gari la mafuta la Oilcom likiwamekamata shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku

21685951_1341042036006767_5855332024489370676_n.jpg


Chanzo: ITV
 
Back
Top Bottom