Ibada hufanywa Kanisani au Msikitini sio barabarani

jaruri

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
717
Reaction score
459
Kuna clip ya kiongozi wa BAVICHA, amesikika akilaumu Polisi kuwa imewazuia watu wenye nia ya kumuombea Mheshimiwa Lissu kufanya hivyo.

Malalamiko haya sio sahihi kwa mtazamo ufuatao;
Ibada hufanyika Kanisani au Msikitini au nyumbani au sehemu yoyote tulivu mahali unapoweza pata faragha na kuwasiliana na Mungu unaemuabudu vizuri zaidi. Mahali pasipo kuwa na distractions. Hawa watu walitaka kukutanika uwanjani na sio Kanisani au Msikitini.

Polisi wana wajibu wa kuzuia mikusanyiko isiyo kuwa na ulazima kwani penye mikusanyiko kunaweza tokea matukio ya uvunjifu wa amani,na pia bugudha kwa watumiaji wengine wa maeneo hayo.

Unapofanya maombi sio lazima ututangazie kuwa unamuombea mtu fulani,tupo wengi tunao muombea mheshimiwa Lissu kimya kimya kwani Mungu anasoma nia na anajua mahitaji yetu hata kabla hatujaomba,halazimishwi kujibu maombi kwa kukusanyika kundi kubwa uwanjani.Ukifanya hivyo basi utakuwa una jambo jingine nyuma ya pazia na sio maombi per see.

WITO;
Tuache upotoshaji,hakuna alozuiwa kuabudu na kumuombea mheshimiwa Lissu.kama unataka kuabudu,nenda kanisani,msikitini,au katika eneo lako binafsi penye faragha kama mlimani,au ndani kwao.

Get well soon Lissu,Amen.
 
Attachments

Kuna clip ya kiongozi wa BAVICHA ,amesikika akilaumu POLISI kuwa imewazuia watu wenye nia ya kumuombea mheshimiwa Lisu kufanya hivyo,,

Malalamiko haya sio sahihi kwa mtazamo ufuatao.
Ibada hufanyika kanisani au msikitini au nyumbani au sehemu yoyote tulivu mahali unapoweza pata faragha na kuwasiliana na Mungu unaemuabudu vizuri zaidi,mahali pasipo kuwa na distractions.Hawa watu walitaka kukutanika uwanjani na sio kanisani au msikitini.

Polisi wana wajibu wa kuzuia mikusanyiko isiyo kuwa na ulazima kwani penye mikusanyiko kunaweza tokea matukio ya uvunjifu wa amani,na pia bugudha kwa watumiaji wengine wa maeneo hayo.

Unapofanya maombi sio lazima ututangazie kuwa unamuombea mtu fulani,tupo wengi tunao muombea mheshimiwa Lissu kimya kimya kwani Mungu anasoma nia na anajua mahitaji yetu hata kabla hatujaomba,halazimishwi kujibu maombi kwa kukusanyika kundi kubwa uwanjani.Ukifanya hivyo basi utakuwa una jambo jingine nyuma ya pazia na sio maombi per see.

WITO;
Tuache upotoshaji,hakuna alozuiwa kuabudu na kumuombea mheshimiwa Lissu.kama unataka kuabudu,nenda kanisani,msikitini,au katika eneo lako binafsi penye faragha kama mlimani,au ndani kwao.

Get well soon Lissu,Amen.

Swali chokonozi@ Yale maombi ynayofanyikaga uwanja wa taifa au jangwani, je pale kuna nyumba za ibada?

Tukisema akili zenu zilienda likizo isiyokuwa na malipo mnasema tunawadharau, jitafakarini sana na mawazo yenu mgando, kata syndrome at work
 
Naona mshaanza kuwapangia watu sehemu za ibada je wale waliokuwa si wa kanisani na msikitini wafanyie wapi ibada zao?
 
....kama alivyofanya Mchungaji Msigwa na Mstahiki Meya kule Nairobi. No noise, no fujo, no nothing..........
 
Hii itahusu na zile za Iddi na za manabii bulldoza na wenzake au za Lissu na Chadema tu.
 
Kuna clip ya kiongozi wa BAVICHA, amesikika akilaumu Polisi kuwa imewazuia watu wenye nia ya kumuombea Mheshimiwa Lissu kufanya hivyo.

Malalamiko haya sio sahihi kwa mtazamo ufuatao;
Ibada hufanyika Kanisani au Msikitini au nyumbani au sehemu yoyote tulivu mahali unapoweza pata faragha na kuwasiliana na Mungu unaemuabudu vizuri zaidi. Mahali pasipo kuwa na distractions. Hawa watu walitaka kukutanika uwanjani na sio Kanisani au Msikitini.

Polisi wana wajibu wa kuzuia mikusanyiko isiyo kuwa na ulazima kwani penye mikusanyiko kunaweza tokea matukio ya uvunjifu wa amani,na pia bugudha kwa watumiaji wengine wa maeneo hayo.

Unapofanya maombi sio lazima ututangazie kuwa unamuombea mtu fulani,tupo wengi tunao muombea mheshimiwa Lissu kimya kimya kwani Mungu anasoma nia na anajua mahitaji yetu hata kabla hatujaomba,halazimishwi kujibu maombi kwa kukusanyika kundi kubwa uwanjani.Ukifanya hivyo basi utakuwa una jambo jingine nyuma ya pazia na sio maombi per see.

WITO;
Tuache upotoshaji,hakuna alozuiwa kuabudu na kumuombea mheshimiwa Lissu.kama unataka kuabudu,nenda kanisani,msikitini,au katika eneo lako binafsi penye faragha kama mlimani,au ndani kwao.

Get well soon Lissu,Amen.
Nahisi mleta post unaumwa na umegoma kunywa dawa ili upone huo ugonjwa wa ujinga unaokusumbua.
Mungu hawekewi magogo kama unavyotaka wewe. Aliyemuumba ndugai, sita pamoja na magufuli wa ccm ndiyo huyohuyo aliyemuumba na lema, lisu, mbowe na zito wa upinzani.
 
Mleta maada una elimu ndogo sana ya dini. Kwa kukusaidia ni kuwa ibada hufanyika palipo na madhabahu ya huyo Mungu/mungu anayeabudiwa na ni popote pale panaweza kuwa na madhabahu. Siku nyingine kama hujui ni bora ukanyamaza
 
Yaani kumuombea mgonjwa Uwanjani fujo zitokee?? nashangaa sana
 
Hivi mtu huzaliwa mpunbavu au hujifunza ukubwani?
Mara ngapi tumeona misa na mikesha uwanja wa taifa?
Mara ngapi tumeona swala za Idd zikiswaliwa Mnazi mmoja na viwanjani mikoani?
Maombi ya dini zote unadhani yatafanywa msikitini,kanisani au mahekaluni na chini ya mwembe

Jiongeza kabla ya kupost kitu JF
 
Huyu alienfika hii SMS anamakinikia , Maombi na ibada zifanyika Mahali popote ndio maana hata makongamano au maombi ya Amani yanafanyika Uwanja wa Taifa ( mkesha wa pasaka)ww Ndugu unaweza kuita hata padri , mchungaji nyumbani au ene lenye uwanja mkafanya maombi
 
Kuna clip ya kiongozi wa BAVICHA, amesikika akilaumu Polisi kuwa imewazuia watu wenye nia ya kumuombea Mheshimiwa Lissu kufanya hivyo.

Malalamiko haya sio sahihi kwa mtazamo ufuatao;
Ibada hufanyika Kanisani au Msikitini au nyumbani au sehemu yoyote tulivu mahali unapoweza pata faragha na kuwasiliana na Mungu unaemuabudu vizuri zaidi. Mahali pasipo kuwa na distractions. Hawa watu walitaka kukutanika uwanjani na sio Kanisani au Msikitini.

Polisi wana wajibu wa kuzuia mikusanyiko isiyo kuwa na ulazima kwani penye mikusanyiko kunaweza tokea matukio ya uvunjifu wa amani,na pia bugudha kwa watumiaji wengine wa maeneo hayo.

Unapofanya maombi sio lazima ututangazie kuwa unamuombea mtu fulani,tupo wengi tunao muombea mheshimiwa Lissu kimya kimya kwani Mungu anasoma nia na anajua mahitaji yetu hata kabla hatujaomba,halazimishwi kujibu maombi kwa kukusanyika kundi kubwa uwanjani.Ukifanya hivyo basi utakuwa una jambo jingine nyuma ya pazia na sio maombi per see.

WITO;
Tuache upotoshaji,hakuna alozuiwa kuabudu na kumuombea mheshimiwa Lissu.kama unataka kuabudu,nenda kanisani,msikitini,au katika eneo lako binafsi penye faragha kama mlimani,au ndani kwao.

Get well soon Lissu,Amen.
Pambaff! Mbona mnafanyia uzinifu hata vichakani na bado mnaita mapenzi!
 
Mkuu skukuu ya idd twasali jangwani sie
 
Maombi ni popote na wakati wowote. Mbona Swala ya Idd inafanyika kwenye viwanja
mbalimbali nyakati za mchana, na maombi ya kuliombea taifa mwisho wa mwaka yanafanyika pia kwenye viwanja nyakati za usiku (mkesha)? Kama kumwombea mtu fulani kwa lengo fulani ni kosa mbona basi Rais wetu mwenyewe anatuambia mara nyingi tu tumwombee ili aendeshe hii nchi vizuri na ashinde vita dhidi ya mafisadi?

Mtu yeyote anayekataza maombi eti kwa sababu yanafanyika mahali pa wazi lazima tumshangae, tuone anakataza maombi hayo kwa sababu za kisiasa tu. Wanaokataza maombi wanatoa sababu kwamba maombi kama hayo yanaweza kusababisha fujo. Hivi kweli mtu aliyeelekeza mawazo yake kwa Mungu anaweza akawa ana mawazo ya kufanya fujo?

Mikutano ya wabunge kwenye majimbo yao inakubalika na inafanyika kwa utulivu mkubwa ikilindwa na polisi. Kwa nini tufikiri kwamba maombi ya kumwombea mtu kwa Mungu yatasababisha vurugu wakati polisi wanaweza kuilinda kama wanavyolinda mikutano ya wabunge? Nawaombeni sana viongozi wa kisiasa: Tafadhalini sana msifanye maamuzi ambayo watu watayaona ni ya kiuonevu.

Chuki ikiingia mioyoni mwa watu inajengeka kidogo-kidogo lakini inafika mahali inalipuka. Enzi za makaburu Afrika Kusini chuki dhidi ya ubaguzi ilijengeka polepole hadi watoto wadogo wa shule za msingi wakafika mahali wakasema 'liwalo na liwe' wakaamua kupambana na polisi bila kujali bunduki zao wala mbwa wao. Chonde chonde viongozi wetu ! Tusifanye watu wawe na chuki mioyoni bila sababu yoyote. Tukifanya hivyo tutakuwa tunatengeneza nchi inayoweza kugeuka kuwa kama Somalia.
 
Back
Top Bottom