Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoani Pwani (SSP) Abdi Issango amelazwa kwenye Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi Kibaha Mkoani Pwani baada ya kupata ajali.
Kamanda huyo amepata...
Nimepita maeneo ya daraja la Salender, naona kuna polisi wenye silaha wanazama msituni pale na kuna gari la uokozi la Msalana Mwekundu.
Kuna nini kimetokea?
Anayejua.
Leo hii kuna tukio kubwa la ziara ya Mh Rais katika Mkoa wa Manyara kuzindua barabara ya KIA hadi Mererani, vituo vingi vya binafsi vya luninga vinarusha live matangazo hayo bila matatizo sasa...
Wakuu Mheshimiwa Raisi anahutubia Simanjiro muda huu na akimaliza anaenda kufungua barabara. Sisi tulioko Arusha barabara imefungwa kuanzia Tengeru hadi KIA tukisubiri msafara wa Raisi baada ya...
Mheshimiwa waziri, nilienda hospitalini hapo ntibiwe saa 21:30, kufika dirishani kuonyesha kadi yangu ya NHIF jamaa aliyepo registration kakunja sura na kusema SASA HIVI HATUTIBU KWA NHIF...
Watanzania kutoka kila pande kila siku tunawaona wakikabidhiwa mamilioni lakini hatuoni maelezo yoyote kama TRA wanachukua kodi yao. Kwa mujibu wa sheria za kodi hiyo ni income ni lazima ikatwe...
Mniwie radhi kwa kuwa mkali kidogo.Lakini hakuna pakusemea ni hapa hapa duniani.Japo sio wote lakini ni dhahiri ndugu zetu hawa wanazingua kwenye kazi,hawajitumi,ruhusa zisizo isha,hawana mda wa...
September 19, 2017 Mariam Mallya
Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limefanikiwa kuwaua Majambazi watatu na kuwakamata wengine wawili huko Vingunguti-Becco katika Mkoa wa kiporisi...
Ndege iliyobeba miili ya watanzania 13 waliopata ajali nchini Uganda imewasili jijini DSM usiku wa kuamka leo.
Miili hiyo imepelekwa hospitali ya Lugalo ambapo leo saa 3:30 asubuhi kutafanyika...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linawashikiria watu 44 wa kijiji cha Mwamabondo wilayani Uyui kwa tuhuma za kuwashambulia silaha za jadi na kuwauunguza kwa moto wanawake waanne wakiwatuhumu kuwa...
Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani, Kamanda Fortunatus Musilimu ametangaza kiama kwa madereva wasiotaka kutii Sheria za barabarani.
Amesema hayo leo wakati wa Shindano la Uchoraji wa Picha za...
DNA (Deoxyribonucleic acid) Kipimo cha kuthibitisha wazazi wa mtoto.
momma's baby.......daddy's maybe!
Ni msemo unaomaanisha mtoto ni wa mama. Baba anaweza kushiriki au kutoshiriki katika kumlea...
Tangu wiki ianze Polisi wanakamata bajaji. Hakuna kupakia watu zaidi ya watatu
Pili watoe ngao, yaan imesababisha usumbufu mpaka imefikia Polisi wanakimbizana na bajaji utadhan majambazi.
Kwa...
Habari wana jf ni miezi mingi imepita tangu mwaka uanze nmeona nianzishe uzi huu kwa nia njema kabisa ya kuwakumbusha watu mipango na mikakati waliojiwekea kuifanya ndani ya mwaka huu ili mwaka...
HabariHospitali kubwa na ya Kisasa ya chuo kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MAMC) kufunguliwa na rais DK Magufuli mwezi ujao.Hospitali hii ipo Kibamba, Mloganzila, jijini Dar Es...
Naanza kuona umuhimu na ukomo Wa kufanya kazi serikalini iwe ni miaka isiyozidi saba -kumi (7yrs-10yrs) ili kupisha na wengine watumikie taifa lao, hii italeta tija zaidi ya MTU kutumikia taasisi...
PADRI: KANISA LIWAINUE KIMAISHA MAKATEKISTA.
Kanisa Katoliki limeshauriwa kuwafikiria upya Makatekista ambao ni mhimili wa Kanisa na kuwasaidia kupunguza ukali wa maisha ya familia zao kutokana...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inatarajia kusikiliza kwa siku tatu mfululizo ushahidi wa utetezi katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Mfanyabiashara Yusuf Manji kuanzia September 25 hadi...
Utangazaji Wa TV unanidham yake, haipendezi mtangazaji kila saa unanyoosha kidole kwenye kamera. Hata wale wanaoongea kwenye public wanafahamu protocol hii huchunga sana kuwanyooshea kidole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.