Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefunguka na kusema kuwa jeshi la polisi limeweza kuwakamata watu hao ambao mwanzo baadhi ya wananchi walikuwa wakisema watu...
Maisha hutupa changamoto ili kupima ujasiri na utayari wetu wa kubadilika, katika muda huo hakuna nafasi ya kujifanya kwamba hakuna linalotokea au kusema hauko tayari kuipokea changamoto hiyo...
Homa ya wamiliki wa nyumba zilizowekwa alama ya X jijini Tanga imeanza kupoa baada ya maofisa wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (Rahco), kupita mara ya pili na kuandika maneno imefutwa...
Kwa mtu ambaye tokea alipokuwa waziri alionesha ujasiri wa pekee katika kubomoa nyumba, na kwamba alipokuwa waziri mara kadhaa "ngazi za juu" ilibidi wamzuie, pale munkari wake wa kubomoa nyumba...
Kama Polisi ya Dar wanakusanya milioni 300 kwa siku mbili kwa nini mkazo usiwekwe nchi nzima kwenye kitengo hiki cha traffik ili mapato yaongezeke
Yaani hiyo ni bilion kama 5 kwa mwezi kwa dsm...
Ni vizuri watanzania tuache chuki na Itikadi sa kisiasa na tuwe kitu kimoja. Haya mambo ya kutufanya tuchukiane bila sababu tujitahidi kuyaacha maana mwisho wa siku tutaanza kuuana sisi wenyewe...
Zamani tulifundishwa kufyeka vichaka, kufukia madimbwi ya maji yaliyotuama na kusafisha vizuri mazingira yazungukayo nyumba Ili kudhibiti mazalia ya mbu waenezao malaria. Leo jioni ukirudi...
Naichukia sana hii channel haina ubunifu wa vipindi kabisa yaani wanakera mpaka hasiraa
Muonekano wa picha mbovu kuwahi kutokea itakua wanatumia mitambo ya tv ya toka enzi za wanazi wa ujerumani...
Tell I now where do we go from here
As the country seem to be falling apart
I wanna know before it's too late
isn't it that we go to that sorrow one more time
'Cos these crazy leaders leaders in...
=miaka 7 mtakuwa uraiani mnaaanza kula mlichokusanya muda wenu wote mkiwa kwenye power!
=ulinzi utakuwa umepungua kwa asilimia 90.
=mliowaumiza kwa visasi watakuwa wameshaumia wamezoea...
Kabla ya mwaka 2016 ilikuwa ni jambo la kawaida sana kuyasikia maneno haya ambayo nitayaorodhesha hapa ila tangia mwaka huo wa 2016 hadi hivi natiririka na naserereka na huu ' uzi ' sijawahi...
JITATHMINI
BABU alimkabidhi mjukuu wake jiwe, kisha akamwambia: "Jiwe hili nimekupa, ni la kwako. Nenda ukaulizie thamani yake, lakini usiliuze kwa gharama yoyote."
Kijana akalichukua jiwe...
Najua wengi watanipinga ila mimi upande wangu kuna kitu nimekiona watu wengi siku hizi siku hizi hawana raha na maisha.
Yaani watu wengi wamekuwa tofauti tangu niwafahamu.
Ndugu zangu nimeamua nilete Uzi tu nahisi nitapata faraja humu
Nimeondokewa na bibi yangu huyu kwangu alikuwa zaidi ya mama na baba
Alinipenda sana alinipa mahitaji muhimu katika utoto wangu...
Ni kweli kipato cha mwalimu sio kikubwa lakini serikali yetu pendwa hususani ya mkoa wa Dar es Salaam ingetafuta mbinu nyingine ya kuwasidia walimu hususani kwenye suala la usafiri na sio hii ya...
Dsm na maeneo mengi nchini, siku za kuamkia jmos, j2 na j3 huwa kunakuwa na ajari nyingi sana zinazotokana na ulevi /unywaji wa pombe.
Kuepuka hizi ajali, fanya hivi:-
1. Kama gari yako ina AC...
Nimesoma habari ya Watumishi wa Umma kwa mkoa wa Dar kukopeshwa viwanja. Haya ni kwa hisani ya Mkuu wa Mkoa,na kwa mtizamo wangu ni jambo jema. Hili jambo linataka kufanana kimantiki na namna RC...
Jeshi la polisi mkoani Tabora limefanikiwa kuwaokoa mikononi mwa sungusungu akinamama wanne waliokuwa karibu kuuawa kinyama na kuchomwa moto kutokana na tuhuma za imani za kishirikina, ambapo...
Mimi nachukulia Ku bet ni kama kupiga ramli. Tofauti pekee iliyopo ni kwamba MTU anayebet anafanya hivyo kwa uhalali wakati huo huo mpiga ramli yeye amezuiwa na sheria kufanya hivyo.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.