Hivi kuna uhusiano wowote kati ya Pindi Chana na Seth wa Escrow? Nje ya mada.Pindi Chana
Mlitaka kumuua!!! Yaani mumpige risasi halafu mumtibie nyienyie? Endeleeni Tu na mambo yenu! Lissu atapona Tu!Kama watu wanatukana mwenye familia unategemea watoto wa mwenye familia watafurahia!?
Any way, nimejifunza kuwa kufata utaratibu ni jambo jema maana , hapo tatizo ni CDM kujiamlia kwenda Kenya bila taratibu za kiserikali.
Duh, eti binafsi! Its fine, kueni na amani Tu!Waliokwenda nae ndio wanatakiwa waende kuripoti kwa balozi. Hili kufamisha kwamba kuna mgonjwa hapo Nairobi. Sio kulalamika bila ya kufuata taratibu. Tukumbuke amekwenda huko binafsi. Kwa kuona huku hakuna USALAMA.
Kwa hiyo yule mwanajeshi kafuata utaratibu wa kupelekwa ZA? Maana Ndugai alisema kiutaratibu, matibabu ya nje kiserikali utolewa India.Any way, nimejifunza kuwa kufata utaratibu ni jambo jema maana , hapo tatizo ni CDM kujiamlia kwenda Kenya bila taratibu za kiserikali.
Kukoseana kwa tartbu za Rufaa ndio inasabisha mtu asimtembelee mgonjwa .Hivi Lissu amefuata utaratibu wa rufaa? Isijekuwa inamkwaza Balozi
Yupo bizeHivi Kenya hakuna balozi wa tanzania maana sijasikia akienda kumsalimia mgonjwa na sio Kawaida mtanzania kutibiwa ughaibuni ubalozi ukawa kimya Kama ulivyo sasa
Hivi Kenya hakuna balozi wa tanzania maana sijasikia akienda kumsalimia mgonjwa na sio Kawaida mtanzania kutibiwa ughaibuni ubalozi ukawa kimya Kama ulivyo sasa
Hivi Kenya hakuna balozi wa tanzania maana sijasikia akienda kumsalimia mgonjwa na sio Kawaida mtanzania kutibiwa ughaibuni ubalozi ukawa kimya Kama ulivyo sasa
Kwa hiyo yule mwanajeshi kafuata utaratibu wa kupelekwa ZA? Maana Ndugai alisema kiutaratibu, matibabu ya nje kiserikali utolewa India.
Ruhusu mikutano ya hadhara na bunge live ili tuone uvilaza wa chadema! Mnaogopa nini sasa!CDM hawana strategy , ni vilaza fulani hivi.
Mmekataa serikali kuhudumia TL, na Balozi kama sehemu ya serikali ile ile bado mnapovuka kuwa hakuja kuwaona.
Tatizo la CDM, wengi kama siyo wote wanaona kama kuku, Yaani , umbali wa kudonoa mahindi.
Kada mtiifu wa chama cha machine gun!Pindi Chana