Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanajamvi hope mko njema! Jumapilii ya leo naomba niombe radhi wanaume na wanawake wa mikoani kwani leo naenda kujadili eneo ambalo pengine hawajawai kufika au hawalijui na pengine hawajawai hata...
11 Reactions
116 Replies
15K Views
Kesi namba 214 nayowakabili Rais wa Simba, Evans Aveva nA Makamu wake Geofrey Nyange 'Kaburu' imetajwa tena kwenye mahakama ya hakimu mkazi kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Victori Nongwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania imewahukumu askari Polisi wawili wa kutoka kituo cha Oysterbay jijini Dar es Salaam na watu wengine sita kwenda jela miaka 35 kwa makosa mawili ya kukutwa nyara za...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna kipindi niliwahi kudodosa kuhusu namna ambavyo, makampuni ambayo serikali ina hisa za kutosha, yanavyoongozwa na wageni vilaza, wanaofanya watakavyo. Hapa nimekuja kukumbushia jambo ambalo...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Kila siku Serikalini inapiga kelele ya commitment na accountability lakini Kuna baadhi ya watumishi wanarudisha nyuma hizi juhudi. Askari Traffic mwenye hizo No E 8841 jina lake hajaweka kama...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
01. KUTOKATA TAMAA Ninapoamua kufanya jambo huwa sikubali kushindwa hata kidogo 02. KUWA NA UVUMILIVU WA HALI YA JUU Huwa napenda sana kusubiri kwasababu najua kuna baadhi ya mambo kama nitakuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakazi saba wa Kijiji cha Mwambondo wilayani Uyui wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwaunguza kwa moto sehemu za siri wanawake wanne wakituhumiwa kwa ushirikina...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
SERIKALI imesema jumla ya walimu 2,939 sawa na asilimia 19.5 walioomba kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya astashahada na stashahada kwa mwaka wa masomo 2017/18, wamebainika kutokuwa na sifa...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Nyumba ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) iliyopo Mwandiga, mkoani Kigoma yaungua moto. Bado chanzo hakijajulikana. Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amezungumzia tukio...
5 Reactions
254 Replies
64K Views
Nimesoma naye st Joseph ngarama katoro bukoba mwaka 2004-2006 akahama
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Miili ya watoto watatu waliofariki dunia kwa mlipuko wa bomu kwenye eneo la mazoezi ya kijeshi wilayani Monduli imeagwa na kusafirishwa kwa maziko katika Kijiji cha Nafco. Shughuli ya kuaga...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu nataka kujua ni mikoa gani iliyohusika kufanya ALBADIRI leo maana nilikuwa nasikiliza radio cloudsFM kipindi cha Jahazi Leo jioni. Nime msikia Shehe wa Tanga aliye semekana ataongoza kufanya...
0 Reactions
106 Replies
20K Views
Inadaiwa kwamba zaidi ya watu milioni 1.4 wanaishi na virusi vya Ukimwi nchini. Taarifa kutoka taasisi ya Egpaf – Boresha Afya inasema kwamba hadi kufikia Oktoba 2016 asilimia 70 ya watu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nilikaa na mzungu mmoja ndani ya siku tatu Nilichokigundua ni kwamba wazungu wamepewa uwezo mkubwa sana kufikiri na hawana ubaguzi kama wahindi na waarabu Nilijaribu kumuuliza maswali mengi sana...
2 Reactions
48 Replies
13K Views
Nimetoa taarifa ya tatizo la umeme nyumbani kwangu jana saa moja jioni, nikarudia saa tatu usiku na tena saa tano usiku, mpaka sasa hivi saa kumi na mbili asubuhi hakuna aliyefika. Nipo Tabata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi linapaswa kufanya kazi kwa weledi bila ya upendeleo wa aina yoyote ile bila kuangalia itikadi za kisiasa kwa vyama vyote. Utendaji kazi wa Jeshi la Polisi kwa awamu hii ya 5...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna waandishi wameenda kufanya mahojiano na wazee wa Tundu Lissu kifamilia wenye miaka 87 na mwingine zaidi ya 90 wanaoishi Ikungi Singida. Ukiwasikiliza sana kiukweli hawa wazee hawajui kabisa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
sio kesi lakini ni mtizamo wangu tu kuwa salamu zetu huwa zipo kinafki sana.unakuta yes mnafahamiana kabisa na kila mtu anajua jinsi maisha yanavotukimbiza resi,ubize ila kwenye salamu tu...
3 Reactions
40 Replies
7K Views
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ulikuwa uchaguzi wa kihistoria katika nchi yetu. Ni uchaguzi ambapo baadhi ya vyama upinzani viliungana na kupewa jina la ukawa, mpeperusha bendera kwa tiketi ya urais...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
serikali kupitia Hospitali zake zikiwemo Zahanati, ina utaratibu wa kutoa Chanzo kwa watoto kuanzia umri wa miaka mitano hadi sifuri kila siku ya jumatatu. Leo katika Zahanati ya MBWENI...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom