Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HABARI ZA LEO. YAH: KESI YA UBUNGE LONGIDO. Baada ya rufaa ya kupinga kutenguliwa kwa matokeo ya ubunge wa Longido yaliyompa ushindi Onesmo Nangole (CHADEMA) kuondolewa na Mahakama ya rufaa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Nashindwa kuelewa ni kwann imekua hivi,mwanzo nlikua na vipindi vizury mno mpaka ukawa inavutia kuangalia ila now ni vurugu tu yan any time munaonesha mamichezo ya mapikipiki tu mumesahau cyo wote...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Magazeti yapo mengi lkn kila gazeti lina heshima yake kutoka na habari zinazochapishwa. Hata ukienda kwa mawakala wa magezeti watakwambia kuna gazeti wanauza idadi kubwa lkn kuna mengine...
5 Reactions
59 Replies
5K Views
Jamani ninyi watu wa Takwimu (NBS) bado tu hamjamaliza kufanya uchakachuzi wenu? Tunajua hivi sasa mnaendelea kupambana kuingiza majina yenu kwenye zile nafasi 450 zilizohitaji barua za...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Mfanyabiashara mji mdogo wa Lupa Tingatinga wilaya ya Chunya mkoani Mbeya amepigwa risasi na kuuwawa na majambazi yaliyomvamia dukani kwake na kuondoka na shilingi milioni 4 Shuhuda wamedai...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Taharuki,vilio na majonzi vimehamia manispaa ya moshi,mtaa wa PASUA baada ya kukuta nyumba zao zimewekwa alama ya X na maneno ONDOA na BOMOA. Zaidi ya wakazi mi2 waliojenga katika eneo lililopimwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Katika logic ya kawaida nyumba imeungua na betri itakuwa imeungua. sasa walitambua vipi kilichoanza ni betri kupanda joto na kutoa moto halafu kuunguza nyumba? haiingii akilini! Kuna aliyepima...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Maisha hutupa changamoto ili kupima ujasiri na utayari wetu wa kubadilika, katika muda huo hakuna nafasi ya kujifanya kwamba hakuna linalotokea au kusema hauko tayari kuipokea changamoto hiyo...
2 Reactions
3 Replies
651 Views
Wapo wapi mashekh, wapo wapi maaskofu, wapo wapi wachungaji. Kwenye tukio kubwa kama hili tulitegemea tamko kutoka kwenu. Ok wacha tuwaache na uongozi wa dini zenu. Sisi tumuombe muumba amponye mh...
8 Reactions
71 Replies
6K Views
Habari wakuu!! Ili kupunguza ajali mbalimbali zinazotokana na zana za kivita hususani hizi ajali za kulipukiwa na mabomu, Wanafunzi wa shule za msingi wafundishwe kwa kuoneshwa picha mbalimbali...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa sababu nia iliyotiwa na Khekhe wa Tanga ni kuwa mabaya yawafike wao walio fanya, pamoja na familia zao, pamoja na ukoo wao na mpaka watoto wao watakaowazaa Hapa nia sio sahihi maana wapo...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Guys this is too much, juzi nilikuta nimepigwa chale kwenye mabega leo nazikuta chale kifuani, mwenye experience na haya mambo naoma ushirikiano wako.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma aliyeteuliwa hivi karibuni kushika wadhifa huo, ameanza kazi kwa kutoa rai kwa majaji wafawidhi katika mahakama mbalimbali nchini kumaliza kesi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kweli CCM tuna miamba awali nilibahatika kuiona gari ya mbunge wa Korogwe yenye usajili Maji Marefu lakini leo pia kupitia luninga ya ITV nimeona gari ya mwenyekiti wa CCM Geita ambaye pia ni...
4 Reactions
26 Replies
9K Views
Askari anayejiita Faru John amejisalimisha muda huu kwa Kamanda wa Kanda Maalum DSM, bwana Lazaro Mambosasa kutokana na agizo alilolitoa jana Mbagala
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Na Thadei Ole Mushi. Nimeangalia Movement za Mh Lazaro Nyalandu zimenifurahisha na zinamfurahisha kila mtu. Kuna wanaozingalia Movement hizo kwa jicho la Kisamaria na kuna Sisi tunaozingalia kwa...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Askari anayejiita Faru John ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi cha Kanda Maalumu ya Dar es Salaam alikohojiwa na kuruhusiwa kuondoka akaendelee na kazi. Kuripoti kwa askari huyo kunatokana na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nakuombeni nyie mliobobea katika mambo ya sheria na katiba ya nchi yetu mfafanue hili jambo. Navyofahamu, spika anaweza kutoa amri kwa askari wa bunge wamkamate mbunge na kumtoa nje. Lakini je...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
JESHI la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia watu wawili, mke na mume, kwa tuhuma za kusababisha kifo cha jirani yao, Iddi Seleman (40) kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Kamanda...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Wakuu habari za muda, Jamaa yangu mmoja anaomba ushauri kabla ya kesho hajafika TRA kuulizia zaidi. Je anawezaje kurejesha leseni yake iliyokwisha muda. Kama mwaka mmoja na nusu uliopita hakuwa...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Back
Top Bottom