Nini kinaendelea kati ya Mwanahalisi na KKKT?

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
1,066
1,048
Najua wote mnafahamu historia ya gazeti la Mwanahalisi kuwa inapolikomalia jambo ujue kuna msukumo maalum nyuma yake.

Kwa sasa kumekuwa na mashambulizi makali kutoka Mwanahalisi kwenda KKKT.

Mwenye kufahamu nini haswa kinachoendelea basi atujuze.
 
Kubenea ni CHADEMA au UKAWA ukitaka
Vita ya gazeti hilo hailengi hasa KKKT vita inamlenga zaidi Askofu Malasusa.Na kwa nini wanamlenga Malasusa? Kisa ni kwa nini alishiriki kwenda kumuapisha Magufuli uwanja wa Taifa wakati CHADEMA na mgombea wao waligoma kwenda.

Ujue Mbowe ni UKAWA na KKKT
Lowasa ni UKAWA na KKKT
Sumaye ni UKAWA na KKKT

Haishambuliwi KKKT anashambuliwa Malasusa kuna msukumo wa kisiasa nyuma ya pazia kwa kuwa vwanamwona kuwa rafiki wa Magufuli.
 
TUPE "HINT" KIDOGO
 
DR. ALEX MALASUSA SIYO ASKOFU MKUU WA KKKT KWASASA......
 
Hii vita ya dini hutaiweza jombaa kaa kimya.
 
DR. ALEX MALASUSA SIYO ASKOFU MKUU WA KKKT KWASASA......

Ni kweli askofu mkuu wa KKKT ni askofu SHOO kutoka kilimajaro.Huyo Askofu mkuu SHOO wa KKKT hakwenda uwanja wa taifa siku ya kumwapisha Magufuli.kardinali Pengo wa katoliki alienda,sheikh mkuu wa Tanzania alienda lakini askofu mkuu wa KKKT hakwenda sijui kwa nini akaenda askofu wa dayosisi ya Pwani ya KKKT.Hapo ndipo kuna baadhi wana hasira zao kuwa kwa nini alienda? Alitakiwa asiende.Hivyo gazeti la Mwanahalisi linatumika kama uchochoro wa kumshambulia kwa ajenda zilizojificha za kisiasa.
 
Malasusa atakuwa anafahamu
Sinature yako imenifanya nitafakari sana.
i. Ukimsaidia mkwepa kodi na wewe unashiriki kukwepa kodi. Kama hypothesis yangu ipo sahihi then kila mtanzania ni mkwepa kodi. Je kama kila mkwepa kodi akiuawa kutakuwa na Taifa la Watanzania? Hivyo ndo maana wanapewa siku 7. Nasema hivyo kwa vile kila siku tunakula kwa mama ntilie, je anakupa risiti ya TRA? Tukinunua bia na mvinyo pamoja na nyamchoma, tunadai risiti ya TRA?
ii. Kwa nature yetu tulivyo vigeugeu, ukianza kuwatandika risasi wakwepa kodi, utageukwa kama ambavyo sasa Uncle anavyogeukwa kwa kuwabana mafisadi. Hivyo kuwa lenient ndiyo hulka ya Watanzania (maana hatuna shukrani)
 
OK, NGOJA TUSUBIRIE "MUDA UTATUAMBIA".....
 
Cheo cha uaskofu hata baada ya kutua majukumu hakiondolewi
KIONGOZI HILO NALIFAHAMU, HOJA YANGU ILIKUWA DR. ALEX MALASUSA, ANGETAJWA KAMA ASKOFU MKUU MSTAAFU WALA USINGENIONA KUHOJI BANDIKO HILI.....
 
Hizi ni rafu za kisiasa zitapita tu maana kampeni zilishapita pia
 
Sinature yako imenifanya nitafakari sana.
i. Ukimsaidia mkwepa kodi na wewe unashiriki kukwepa kodi. Kama hypothesis yangu ipo sahihi then kila mtanzania ni mkwepa kodi. Je kama kila mkwepa kodi akiuawa kutakuwa na Taifa la Watanzania? Hivyo ndo maana wanapewa siku 7. Nasema hivyo kwa vile kila siku tunakula kwa mama ntilie, je anakupa risiti ya TRA? Tukinunua bia na mvinyo pamoja na nyamchoma, tunadai risiti ya TRA?
ii. Kwa nature yetu tulivyo vigeugeu, ukianza kuwatandika risasi wakwepa kodi, utageukwa kama ambavyo sasa Uncle anavyogeukwa kwa kuwabana mafisadi. Hivyo kuwa lenient ndiyo hulka ya Watanzania (maana hatuna shukrani)
Mkuu umenikumbusha ugali na Nyama choma. Ugali unakuwa kidooogo kwenye sahani na Nyama choma zinakuwa zimejaa kwenye sahani, pembeni kuna kuwa na limau, pili pili na mboga za majani, unakula finyango nne za Nyama ya kuchoma ndiyo unakula tonge moja la ugali yaani mkuu unaweza kukufuru kwamba dunia hii hakuna shida
 
Najua wote mnafahamu historia ya gazeti la Mwanahalisi kuwa inapolikomalia jambo ujue kuna msukumo maalum nyuma yake.

Kwa sasa kumekuwa na mashambulizi makali kutoka Mwanahalisi kwenda KKKT.

Mwenye kufahamu nini haswa kinachoendelea basi atujuze.
Hio historia hatuifahamu. Tuanbie wewe
 
Mkuu umenikumbusha ugali na Nyama choma. Ugali unakuwa kidooogo kwenye sahani na Nyama choma zinakuwa zimejaa kwenye sahani, pembeni kuna kuwa na limau, pili pili na mboga za majani, unakula finyango nne za Nyama ya kuchoma ndiyo unakula tonge moja la ugali yaani mkuu unaweza kukufuru kwamba dunia hii hakuna shida
Kwa bahati mbaya misosi kama hiyo wanafaidi wateule tu. Ukiwa kijana bado unasoma shule udenda unakutoka ukiuuona ila unajipa matumaini kuwa ukizipata utatumbua. Ukizipata umri unakuwa umeenda na ndipo daktari anakukataza kula nyama choma.
 
Back
Top Bottom