Ulizo: Kwanini polisi inazuia albadiri isisomwe?

galatia

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
342
Reaction score
829
Swali langu ni hilo tu..
Nyie watu mnahofia nini ?kwani hiyo dua ikisomwa inatawahusu nyie?

Hiyo ni dua maalum ya kuwasaka wasiojulikana.

Mnatutia mashaka sana.
 
Albadir sio kitu/jambo la mchezo ama mzaha....!!

Serikali au viongozi wote wanalitambua hili...
 
Teh!
Kumbe imezuia?
Basi inajua ni wakosaji,hapana chezea albadir
 
Ni aibu sana kwa chama fulani kutegemea ushirikiana kama sera ya kuwaingiza ikulu. You have run out of options. uwezo wenu sasa umedhihirika.
 
Kwasababu serikali haitendi haki na ushirikina ndiyo njiabadala ya kupata haki yetu. Kuna siku tutakuwa madarakani
 
Ni aibu sana kwa chama fulani kutegemea ushirikiana kama sera ya kuwaingiza ikulu. You have run out of options. uwezo wenu sasa umedhihirika.
Mbona nyie mnategemea dola aise acha kutoka povuu weka bunduki chini tubishane kwa hoja
 
Ni aibu sana kwa chama fulani kutegemea ushirikiana kama sera ya kuwaingiza ikulu. You have run out of options. uwezo wenu sasa umedhihirika.
Ni aibu serikali kuogopa ushirikina
 
Back
Top Bottom