Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jopo la madaktari bingwa 16 kutoka nchini Cuba hivi sasa watafanya kazi katika Hospitali ya Taifa ya Rufaa Muhimbili iliyopo jijini Dar es Salaam nchini Tanzania. Lengo la kuwepo kwa madaktari...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za jioni wana harakati wa JF, Kuna tetesi ambazo huwa nimezisikia muda mrefu kuhusiana na wana siasa wa kiafrika kutegemea zaidi waganga wa kienyeji ili kuweza kufanikisha kazi zao. Hivi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Muleba. Watu watatu wamekufa maji ndani ya Ziwa Victoria katika Kisiwa cha Ilamba wilayani Muleba baada ya mtumbwi kuzama. Watu hao walikuwa wakitoka kuchota maji Kisiwa cha Mazinga. Mwili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huu mkutano wa NSSF wa wadau October, 2017. Usajili unaendelea Je, Viongozi wa NSSF na wanachama watajadili changamoto za FAO La kujitoa? Ujenzi wa Viwanda unatija au ni Mihemko wa kisiasa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kitendawili hiki ambacho jibu lake linanifanya kichwa kinigombe kiasi kwamba hata panadol haifui dafu. Kutoka hata tunaona mapato yameongezeka TRA imekusanya jumla ya Shilingi Trilioni 3.65...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Miaka zaidi ya 18 sasa toka baba wa taifa atutoke naukumbuka sana mwaka huo 1999 wakati radio tanzania ilipotoa tangazo la kifo chako yalikua ni majonzi ya hali ya juu kwa watanzania wote na watu...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi si mashabiki wa matusi ya Mange Kimambi, angalau niweke wazi. Lakini naamini taarifa zake nyingi zina mandhari ya ukweli bila shaka. Kibaya ni lugha anazotumia kufikisha ujumbe wake Okay...
43 Reactions
210 Replies
22K Views
Huu ujumbe hapa chini ni wa kitapeli na hauna uhusiano wowote na kampuni ya TMT ambayo inajishughulisha na mafunzo ya forex kwa sasa pamoja na kuwawezesha watanzania hasa vijana kujikwamua...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
A bully is always a Coward Cowards dies many times before their death Empty vessels make the most sound A bad workman blames his tools A hungry man is an angry man Civility costs nothing The...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Ikiwa dunia leo inaadhimisha siku ya kupinga adhabu ya kifo, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeitaka Serikali kuifuta adhabu hiyo. Pia, Serikali na mamlaka husika zimetakiwa kufuta...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tanzania ili ikuwe ni lazima mazingira ya kufanya biashara yabadilike kuna mambo ambayo yanachangia sana. 1. TRA kusumbua: TRA wamekuwa wasumbufu na wakati mwingi wafanyabiashara wadodowadogo...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama baadhi ya vyombo vya Habari vitakwenda kinyume na matamko ya Nevile Meena Jana vitachukuliwa hatua gani iwapo watatoa taarifa za Paul Makonda? Sijajua Tamko hilo kuhusu vyombo vya Serikali...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
UNAKUBALIANA NA ANACHOSEMA DK. OBADIA NYONGOLE KUHUSU MADAKTARI KUTOA HUDUMA KULINGANA NA JINSIA
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kumekuwa na watu wengi ambao uwasema vibaya wale wanaokunywa pombe. Lakini kwa uchunguzi wangu nimegundua wanywa pombe asilimia kubwa ni watafutaji, wana pesa, ni watoaji wazuri tu hata...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Mko Poa wana JF? Naamini mko poa. Uwaga kila nikikatiza mitaa ya Lugalo navutiwa na umaridadi wa eneo lile. Kila siku asubuhi nikiwa naelekea job nawaonaga MP wakiongoza wanafunzi kuvuka...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu watu wa nne kutumikia kifungo cha mika 30 jela na kuchapwa viboko 12, sita wakati wa kuingia na sita wakati wa kutoka baada ya kupatikana na hatia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwamba maana ya Shoga iwe kwamba Mwanaume anayefanyiwa mapenzi kinyume cha maumbile na Mwanaume ambaye pia anamfanyia Mwanaume mwenzake, yaani wote wawili ni Mashoga, hapo patakuwa hapatoshi, ...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Please, wise up you people [ IGP Sirro & Co]. Stop giving that obviously demented broad the oxygen of publicity. Why even mention her? Just do what you got to do clandestinely [if at all you're...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Katika Michezo ya Olympics ya Mwaka 1968 iliyofanyika Mexico City kulikuwa na mwanariadha aliyetumia muda wa saa nne na nusu kumaliza mbio za Marathoni. Wanariadha wengine walikuwa wamemaliza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo tarehe 17/5/2017 majibu ya watu waliokata RUFAA kwenye kundi la Kugushi mbona hamyatoi? Wale mliowaita wana vyeti vyenye UTATA mbona hamtoi majibu ili hali wahusika wamewasilisha vyeti vyao...
4 Reactions
62 Replies
14K Views
Back
Top Bottom