Aidha aende mwenyewe kwa hiari yake kwa kuwapisha wengine au tuingilie na kumuondoa kwa nguvu na hili tulifanye kwa kuiwekea chadema vikwazo vya Kiuchumi kama wakishindwa kumtumpa nje Mbowe.
Kwa...
WIZARA za Mambo ya Nje za Kenya na Tanzania zimetekeleza maagizo wa marais wa nchi hizo, Dk John Magufuli wa Tanzania na Uhuru Kenyatta wa Kenya, kwa kuagiza unga wa ngano kutoka Tanzania, uingie...
Huwa kuna siri gani kati ya mwezi wa kuzaliwa na kufa?
Nimejaribu kufanya utafiti kwa muda sasa nikiangalia misalaba mingi nakuta kama si kufanana kabisa kwa mwezi wa kuzaliwa na kufa basi...
Alipoanza kazi takribani siku 600 zilizopita mkurugenzi huyu alileta matuamaini na amshaamsha ofisini kila mtu akawa optimistic kwamba mambo mazuri na maslahi zaidi yanakuja.
Akatuhimiza tuchape...
Nimemsikiliza Kange Lugola akisema wanaokata miti ovyo au wanaoharibu mazingira wajiandae, Kigwangala naye anatumia mtindo huo huo kama gia ya kuingia Maliaasili.
Maneno kama haya NI mikakati...
Nipende kuanza kwa kuwajulia hali ndugu zangu watanzania na wazalendo wa nchi yetu pendwa yenye mito na mabonde mengi ya nafaka. Kubwa nalopenda kuandika leo ni juu ya Shirika letu la nyumba la...
Kamishna wa Mapato ya ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Elijah Mwandumbya akizungumza na wahitimu wa mafunzo ya usimamizi na uendeshaji wa mashine za ukaguzi wa mizigo ‘scanner’...
Habari za majukumu wandugu?
Nategemea kumjengea bibi yangu kaburi mwisho wa mwezi huu, naomba msaada wa maneno mazuri ya kuandika katika msalaba(hii ya kisasa kipande cha jiwe). Ahsanteni kwa msaada
Tofauti na falme vumbi Kusini mwa Afrika (wengi wao WAGALATIA). Falme za waarabu zimejiimarisha kiuchumi na tunajivunia Ufalme wa hawa ndugu zetu wa damu Morocco. Sasa tunajengewa uwanja na...
Kundi la madaktari bingwa 18 wa hiyari kutoka nchini Saudi Arabia linatarajiwa kuwasili tarehe 12 Oktoba ambapo wataweka kambi ya tiba (medical camp) kwa muda wa majuma miwili. Madaktari hao...
Kila mtu duniani ana kitu fulani ambacho hakifanyii ubahili pindi anunuapo. Yani haoni shida kutumia pesa nyingi kukinunua kama amekipenda.
Kwangu mimi ni Mashuka na Vyombo vya kulia chakula...
Wakuu, kanisa Katoliki lina vyombo vyake vya habari hivo kupitia huko waanzishe mafunzo ya kuielewa lugha ya Kilatini. Nakumbuka wazee wetu walikuwa wakisali kwa lugha hiyo japo maana ya maneno...
Hivi kama mamlaka husika na polisi mnaweza kuwakamata wanaojiuza mtaani na kuwasweka kwenye defender.
Leo hii mtu anakaa uchi kwenye mitandao ya kijamii namna hii anajifunua nguo zake bila aibu...
Nilkuwa nataka kujenga kiwanja ninacho
Nilliuza jf watu wakanisema sana 50m uwezi kujenga hiyo ni banda, lakini si kweli nimejenga na nyumba imekwisha vyumba 4 na master 2 kwa 30m
Ukitaka...
JUMLA ya dola za Marekani 29,320 (Sh. milioni 64.447) zimechangwa na watu wa nje ya nchi kusaidia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) huku Yasinta Massawe akiongoza kwa...
Ni muda mrefu sasa nimefanya utafiti na kugundua kuwa walimu wa sekondari ya kwiro hawana sifa za kufundisha kwani wengi hawajui kufundisha hasa wa masomo ya science na uchumi. Tunaomba serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.