Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,232
- 3,334
Kumekuwa na watu wengi ambao uwasema vibaya wale wanaokunywa pombe. Lakini kwa uchunguzi wangu nimegundua wanywa pombe asilimia kubwa ni watafutaji, wana pesa, ni watoaji wazuri tu hata makanisani.
Kwa wasiotumia pombe, wengi wao ni wambea, upenda kufuatilia vitu vidogo, muda mwingi wako na wake zao nyumbani utadhani kumbikumbi.
Kwa wasiotumia pombe, wengi wao ni wambea, upenda kufuatilia vitu vidogo, muda mwingi wako na wake zao nyumbani utadhani kumbikumbi.