Baada ya makosa ya wazi katika kauli za Sirro na Mwigulu kuonesha kuwa kuna kitu serikali inajua kuhusu kushambuliwa kipenzi chetu Tundu Lissu, leo tena haraka ya kumjibu Zitto imewaumbua mno...
Anatafutwa na jeshi la polisi kokote alipo toa taarifa kwa 0672442185
Ni mwizi kaiba simu zenye thamani ya sh laki 6 na kiasi cha pesa cha sh laki 7 wazee usawa wenyewe huu yaani ni serious...
Katika dunia kuna vitu vingi vizuri vya kuvutia. Ila kudumu katika ule uzuri ili kionekane kizuri kila siku ndipo hutofautisha tabia hulka ya kila kitu kilichopo duniani.
Kile ukionacho kikubwa...
Kuna kitu huwa sielewi unakuta mtu ana biashara yake au kazi nzuri lakini yupo tayrai kutukanwa na mashabiki wa Simba au Yanga kwasababu tu kutaka Uongozi.Hivi kuna siri gani kwenye hizi klabu...
Mkuu wa wilaya ya Nzega Bw.Godfrey Ngupula amewaagiza wamiliki wa nyumba za kulala wageni zilizokidhi vigezo vya kupokea wageni wa kimataifa wilayani humo kuajiri wahudumu waliosomea mambo ya...
Huku Zitto akidai mapato ya Serikali Kwa miezi ya Julai na Agosti yameshuka mpaka chini ya Shilingi 600 bilioni, TRA nayo inasema imekusanya jumla ya Sh3.65 trilioni kwa kipindi cha robo ya kwanza...
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani Mara, linawashikilia watu 18 kwa tuhuma za mauaji baada ya kumshambulia kisha kumchoma mishale yenye sumu mkazi mmoja wa kitongoji cha Mwara...
Juzi ndugu yetu alipatwa na ajali huko Chanika akawa ameumia vibaya sana . Wasamalia wema wakamkimbiza hapo Amana kufika kwa kuwa hakuwa na ndugu wakamfunga mfunga ule mguu na kumuacha hapo nje...
ukifuatilia aina ya viongozi wa vyuo au marais wa serikali za vyuo huwa ni mwepesi kuliko ule wa shule za misingi na sekondari.
1:Chuo hasa vyuo vikuu unaweza kuendesha maisha yako bila hata...
Najua kuna wimbi la wanaadamu wanaotumia vinywaji mbalimbali ikiwemo vile vyenye kileo na vile baridi ila baadhi yetu tumeenda mbali hata kutotumia baadhi ya vinywaji baridi.
Kwangu mimi niliacha...
Hawa Wamaerekani wanaotupa misaada (maarufu kama kwa hisani ya watu wa Marekani) wengi wao hawana uwezo wa kukabiliana na dharura inayohitaji dola mia tano bila either kukopa au kuomba msada kwa...
Pete iliyopambwa kwa almasi kutoka kwa mgodi wa Cullinan
Kampuni moja ambayo ni miongoni mwa kampuni kubwa za uchimbaji madini ya almasi Afrika, Petra Diamonds, imetangaza kwamba inakumbwa na...
Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samwel Manyele amezungumzia umuhimu wa baadhi ya makundi ya watu kupimwa matumizi ya dawa za kulevya. Makundi aliyoyataja Mkemia Mkuu wa Serikali ni pamoja na...
Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi...
Mtaani na maeneo ya kazi yapo malalamiko kwa watumishi wa umma kuwa stahiki zao za madaraja, vyeo na madai yao, hawajalipwa mwaka wa 2 sasa. Je kura yako utawapa tena kwa wema huo????
Tajiri mmiliki wa ardhi ambaye pia amekuwa akisaidia wasiojiweza katika jamii, Mtawala wa Westminister Gerald Cavendish Grosvenor amefariki na kumwachia mwanawe Hugh Grosvenor urithi wa £9bn...
Tanzania inatajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye ongezeko kubwa la watu wenye ugonjwa wa akili ambao wataalamu wa afya ya akili wanasema unarudisha kwa kasi ari na ufanisi wa utendaji kazi na...
Moja kati ya kazi za TCRA ni pamoja na kuregulate na kusimamia huduma za mawasiliano zinazo tolewa na kampuni mbalimbali za mawasiliano nchini Tanzania, ikiwemo kampuni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.