Jamani wan Jamvi, napenda kuwashirikisha masikitiko yangu kwa hiki kilichotokea kwenye 2nd round admision ya vyuo vikuu na nitatoa mfano wa chuo kimoja.
Jumapili nilijisajili CUHAS na kabla ya...
Wadau hebu tuliangalie hili swala la ujazaji Wa abiria kupita kiasi kwenye mabasi ya mwendokasi hapa dar. Je Nani anadhibiti hii kitu? Au Ni kujaza hadi pale mchina alipoishia kutengeneza upana na...
Kijana Mmoja aliyejulikana kwa jina la Wilson Mwasi mwenye umri wa miaka kati ya 28 na 30 ameuwawa kwa kuchomwa kisu na mtoto wa mwenye nyumba wake kwasababu ya kudaiana pesa ya umeme.
Tukio...
Ukiwasikia Watangazaji wa Redio na Tv za nchini Kenya na Uganda huwa wanalitamka hili neno vizuri sana kwa kusema ' Nakumat ' Supermarket lakini Watangazaji wengi wa Redio na Tv za nchini Tanzania...
Amefariki jana katika hosptali ya General Dodoma baada ya kupata ajali akiwa safarini kuelekea Dar wakati akisindikiza msiba wa mshirika wake ndipo gari alilopanda likapinduka baada ya kupasuka...
SINTOFAHAMU YA MTOTO ALIYEFANYIWA UPASUAJI: Muhimbili yawasaka wazazi wa mtoto wa miaka 13 waliyemsusa baada ya kufanyiwa upasuaji wa tatizo la moyo lililokuwa likimsumbua, yuko katika Taasisi ya...
Wataishia kuja na misemo tu, sijui albadir, mara malipo hapa hapa Duniani, utasikia hujafa hujaumbika, lkn hakuna kitu wanakufanya hivyo ukiwa kama hauamini huo ujinga unaweza kuwafanya unavyotaka...
Wakuu, leo nimeona tusaidiane kupeana maarifa ya kuongeza hamu ya mwanamke kufanya mapenzi sana,hata anapokuwa ana umri mkubwa,yaani kuanzia miaka 50 na kuendelea.
Vyakula hivi vinampa nguvu...
Habari zenu wana Jamvi naimani wote hatujambo, naomba tuchangie hoja hii kwa wale wanaomini uchawi kuwa una mafanikio au Laah
Na hata kwa wale wasio amini uchawi mnakaribishwa kuchangia hoja zenu
MWANAMKE ASIYEPENDA NDUGU WA MUME DAWA HUWA NI KAMA HII.
Siku moja wakiwa wamekaa pamoja mume na mke wake mume akamwambia mke wake
"Mke wangu nimewakumbuka sana ndugu zangu (kaka zangu dada na...
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB, Tully Mwambapa
Dar es Salaam. Benki ya CRDB imetajwa miongoni mwa taasisi salama zaidi za fedha duniani, hivyo kuiweka Tanzania...
Wengi wasiotaka mazuri kwa wenzao ndio watupa dhahabu kwa wenzao wakidhani ni mawe ,
wenzao huyaokota na kubadili maisha yao alafu sasa wanashangaa imekuje wakati nilikuwa nampigia mawe...
Nilipokea email ya mdada aliyejitambulisha kwa jina la CARISA SMITH, akisema amependa mwonekano wangu kupitia facebook profile yangu hivyo amenipenda tuwe marafiki, nikamwambia hakuna matata...
Taarifa ikufikie popote pale ulipo kuwa Ulimwenguni kote leo ni siku Ugonjwa wa akili duniani / siku ya Wagonjwa wa akili duniani na kwa tafiti za huyu Mwanasaikolojia mmoja kutoka Hospitali Kuu...
Wananchi wa Kata ya Kawe wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es salaam, wamelishangaza Jeshi la Polisi baada ya kuaandaa tuzo kwa askari polisi ambao wanafanya kazi vizuri zaidi kwenye eneo hilo...
Moja ya ishara ya wewe kuelekea pabaya ni kuongezeka idadi ya marafiki ambao wanamawazo mabovu, hawana maono, hawajali kuhusu jamii,hawaheshimu wazazi au hawapendi kujifunza mambo ya kuwajenga ...
Kuna tofauti ya kusikia na kusikiliza
Kila mtu anasikia lakini si kila mtu anasikiliza.
Kusikia ni kupokea kutoka masikioni kwenda moyoni ( nafsini). Kusikiliza ni kutoka sehemu ya nje kwenda...
STEP BY STEP TO SUICIDE
1. Mania- state of joy or overjoy
2.Anxiety - From mania is anxiety characterised by restless, flight of idea, jumping from one topic to another
3. Frustration- Thinking...
Habari za mida hii mabibi na mabwana ningependa kufahamishwa tofauti ya neno HOSPITAL na HOSPICE
Kuna movie nilikuwa naicheki lakin cha kushangaza eneo wanapotibiwa wagonjwa ambapo tumezoea kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.